CNN wafanya interview na Diamond Platinumz

huku ali kiba akilalamika media za bongo
kutoonesha project anayofanya
rwanda na kulaumu media za
bongoo...lkn chek mnyaamaaaa ni
shdaaaaaaaaa ...
 
Msisahau kuwa soon atakuwa namba moja Africa kwa kuwa na followers wengi instagram.
 
Vizuri ila ni Diamond Platnumz ndio wamemuona kwanza kwa wasanii.
 
Hii mijitu kwa uongo sijui itaacha lini, CNN hawajafunga safar kuja kumuhoj diamond, hiyo imetokea na wasanii waliohojiwa ni pamoja na Lady jay dee, Black rhino, Nick wa 2 na huy Mondy wenu, sasa nyie hapo mmeona dili sana.
 
Safi sana, mmatumbi wetu unatuwakilisha wamatumbi mbele kwa mbele. Thats our boy, keep it up Diamond!
 
Nimesoma mahali kwamba wamemuhoji Mrisho Mpoto (mjomba) pia
 
Hii mijitu kwa uongo sijui itaacha lini, CNN hawajafunga safar kuja kumuhoj diamond, hiyo imetokea na wasanii waliohojiwa ni pamoja na Lady jay dee, Black rhino, Nick wa 2 na huy Mondy wenu, sasa nyie hapo mmeona dili sana.

Kumbe!sasa mbona fans wake wako super excited hivi?
 
He can also utter in English.Lakini siyo that fluently ila kidogo impressive.Kuna kuelewana.Ana juhudi jamaa ya kujifunza

He can't necessarily speak in English if he is not that good.....eerrr....not fluent in Queen's language.He can speak in his mother tongue language and interpreted into English by the interpreters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…