TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Sawa pia unakumbuka al jazera washawahi kumuhoji pia
Yeah siyo Mbaya japo MTV BASE ndio platform nzuri zaidi ya kumtangaza nje ya Africa. He is trying to be honest.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa pia unakumbuka al jazera washawahi kumuhoji pia
Hiyo itakuwa ni program ya African Voices tu hiyo ambapo hukutana na aidha wasanii mbalimbali au wajasiliamali.Walifanyatembelea sehemu nyingi Africa kama vile South Africa, Ghana, Nigeria, Rwanda, Uganda, Kenya, nk.Tanzania ndo walikuwa hawajatia timu bado.
Wamemuhoji Kiswahili?
Hii mijitu kwa uongo sijui itaacha lini, CNN hawajafunga safar kuja kumuhoj diamond, hiyo imetokea na wasanii waliohojiwa ni pamoja na Lady jay dee, Black rhino, Nick wa 2 na huy Mondy wenu, sasa nyie hapo mmeona dili sana.
He can also utter in English.Lakini siyo that fluently ila kidogo impressive.Kuna kuelewana.Ana juhudi jamaa ya kujifunza