CNN wafanya interview na Diamond Platinumz

CNN wafanya interview na Diamond Platinumz

Msinihusishe kabisaaa ktk huo upuuzi wenu wa sijui team nini....sina kabisa muda huo wala hakuna ninayemfagilia kati ya Kiba na Diamond. In short,sina kawaida ya kushinda mitandaoni kusifia mafanikio ya wanaume wenzangu....you called the wrong number.... Sorry man!

Uwepo wako tu kwenye huu uzi ni wazi kabisa kuwa umevutiwa na huu upuuzi, mchango wako umenionesha waaazi kua upuuzi unaupenda ndio maana nikajua wewe ni mwenzetu kati ya wapenda upuuzi, kwenye huu upuuzi hujahusishwa na mtu umejihusisha mwenyeweeee.
 
Dangote hakufanya interview na CNN, labda CCN.
Anaitwa Nassib Abdul.Dangote hayupo tz.

Haaah nisharekebisha ni CNN wametoka marekani hadi Tanzania kumfata Nassibu Abdul Diamond platinumz icon wa taifa mond bin laden baba tiffah raisi wa wcb chibu dangote kiboko ya wadada wa bongo movie aliewapanda kama farasi
 
Hii mijitu kwa uongo sijui itaacha lini, CNN hawajafunga safar kuja kumuhoj diamond, hiyo imetokea na wasanii waliohojiwa ni pamoja na Lady jay dee, Black rhino, Nick wa 2 na huy Mondy wenu, sasa nyie hapo mmeona dili sana.

Kibakuli hajahojiwa au hawamjui au itakuwa diamond kanunua interview hii et
 
Sasa umekujaje hapa. Pimbi nin?
Msinihusishe kabisaaa ktk huo upuuzi wenu wa sijui team nini....sina kabisa muda huo wala hakuna ninayemfagilia kati ya Kiba na Diamond. In short,sina kawaida ya kushinda mitandaoni kusifia mafanikio ya wanaume wenzangu....you called the wrong number.... Sorry man!
 
Sasa umekujaje hapa. Pimbi nin?

Hii ni simu yangu hakuna wa kunipangia niingie mtandao gani wa kijamii,napita kote huko,nikiona topic nachangia,but am not a groupie like you guys!so don't associate me with any team nonsense!
 
Vp kwa ali kibago hawakwenda kumfanyia enterview nae? teh.teh teh..
 
Hii ni simu yangu hakuna wa kunipangia niingie mtandao gani wa kijamii,napita kote huko,nikiona topic nachangia,but am not a groupie like you guys!so don't associate me with any team nonsense!

kwani lazima lugha ya malkia?
 
Back
Top Bottom