CO anatumia mamilioni ya pesa kusoma halafu anakuja kulipwa laki 2 huu ni unyanyasaji

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
248
Reaction score
1,442
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka

Ada

Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
 
Ni nchi gani Clinical Officer analipwa mshahara wa laki mbili?
 
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka

Ada

Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
Wewe jamaa ni muongo sana,hebu leta source ya hiki ukisemacho.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka

Ada

Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
Ukiona unalipwa kidichu anzisha ww hospitali yako uwalipe wafanyakazi wako mamilioni...
People get paid based on the company capacity to pay and what you bring to the table...
 
Ndugu yangu kupata Nazi balaa.Maliza chuo utaitamani hiyo 200 kwa mwezi utaisikia redioni.Anza kuopenda hiyo kwanza
 
Mnakimbilia titles mkipigwa njaa mnarudi mnalialia..vipi si mlisema furaha yenu sio pesa..haya nyanyuka haraka kackrak wagonjwa wapo foleni hapo nje kwenye mabenchi.

Kuna kozi ukisoma lazima ufe masikini usipo jiongeza.

Mojawapo ni kozi za afya na ualimu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unataka shilingi ngapi? Hesabu zenyewe hujui si ungesoma injiniaa
 
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka

Ada

Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
Hivi mpaka leo watu wanasomaga hii CO?
 
Back
Top Bottom