CO anatumia mamilioni ya pesa kusoma halafu anakuja kulipwa laki 2 huu ni unyanyasaji

Mnakimbilia titles mkipigwa njaa mnarudi mnalialia..vipi si mlisema furaha yenu sio pesa..haya nyanyuka haraka kackrak wagonjwa wapo foleni hapo nje kwenye mabenchi.

Kuna kozi ukisoma lazima ufe masikini usipo jiongeza.

Mojawapo ni kozi za afya na ualimu.

#MaendeleoHayanaChama

Mkuu ualimu utoe.Watu wengi wamejiari kupitis ualimu na wengine wametajirika. Nenda vituka nyoosha kama unaenda buza kuna jamaa alianzisha shule madarasa nyumba yake baadae alinunua nyumba zote zinazozunguka pale.Nimeshuhudia ukuaji wa ile shule. CO anatajirikaje? Mwalimu akitulia akatunga vitabu vizuri anatajirika haraja sana.
Kuna walimu wametajirika kwa tution centre na v vituo vya QT nimewashuhudia miaka ile nasoma(2000+).
Watu wengi nimewashuhudia wakitajirika kupitia sekta ya Elimu, sekta ya elimu ina utajiri ila wengi hatujui na hatuna mbinu.
CO au dokta kupata utajiri labda aanzishe farmacy japo nayo ni saturated business au aanzishe hospitali yake ambapo ni ngumu sana kuliko kuanzisha taasisi ya kielimu.
Wajanja ktk sekta ya Afya walianzisha vyuo ila Magu akatia mchanga.
 
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka

Ada

Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
Nani anatumia makaratasi kusoma?
 
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka

Ada

Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
tatizo lenu mnasoma kwa kutegemea kuajiriwa
 
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka

Ada

Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
CO ni kifupi cha nini?
 
Kuajiriwa ni kwa ajili ya watu ambao hawana maarifa ya kutosha, kwa wenye maarifa ya kutosha hujiajiri wenyewe na hawamtegemei mtu.

We unanyonywa kwa sababu uwezo wako katika umahiri wa hicho ulichonacho ni mdogo sana
 
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka

Ada

Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
Demand and supply.

CO is saturated and outdated kwa sasa, sio kwa ajili ya kuifanyia kazi/ajira tena ila imebaki kama ngazi to degree , japo mlango wa CO kwenda MD ni mwembamba sana, period.
 
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka

Ada

Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
Asa hizo hela unalipa mwaka mmoja au miwili tu unalinganisha na mshahara unaolipwa kwa miaka 40?
 
Back
Top Bottom