Kamwambie Uhuru asijaribu kumbebesha Laila hilo saga ataivunja Kenya vipandevipande. Haki kabisa iapokuwa sipendi majisifu yenu pia sipendi kenya isambalatike.
Unajua kabisa kenya hakuns vyama vya siasa bali Muungano wa makabila.
Mwambie Uhuru hey don't try this at state house
Kamwambie Uhuru asijaribu kumbebesha Laila hilo saga ataivunja Kenya vipandevipande. Haki kabisa iapokuwa sipendi majisifu yenu pia sipendi kenya isambalatike.
Unajua kabisa kenya hakuns vyama vya siasa bali Muungano wa makabila.
Mwambie Uhuru hey don't try this at state house
Atakayepatikana na hatia atabeba mzigo tu, awe nani wala nani, Wakenya wanasubiri tena kwa hamu sana kieleweke. Huwa hatuchelewi, hatukawii na kawaida hatuogopi inapofikia maamuzi.
Wewe sioni jinsi unavyojifanya huelewi kinachoendelea huku, Wabongo wengine wanaruhusa ya kubweteka wanapojadili fujo za mpeketoni, lakini Mbongo anayeelewa mambo ya Kikenya anapita kimya. Jiulize
- Polisi walipewa taarifa na usalama wa taifa kuhusu mashambulizi kabla hayajatokea
- Wasafiri kadhaa walitahadharishwa na polisi barabara kuu, kuwa wasiende Mpeketoni maana kutakua na matukio
- Ikawaje Alshabaab wasafiri kilomita 130 tokea mpakani na hawakumpiga yeyote njiani, iwe tu walifululiza moja kwa moja hadi Mpeketoni.
- Dereva wa gari moja ameshikwa na kumtaja aliyempa Ksh 20,000 kuwasafirisha jamaa
- Ishamel Omondi aliyepost Twitter kuwa Alshabaab wamehusika, alishikiwa Kariokoo ya Kenya
- Kamanda wa polisi bwana Omollo ameasimamishwa kazi maana alipewa taarifa kuhusu mashambulizi kabla hayajafanyika na hakuzuia.
Kuna mengi ya kutaja hapa, lakini hamna haja maana nawaachia nafasi mzidi kubeza kabla hamjapigwa vibao na matukio yatakayofuatia. Tayari jamaa wameuwawa watano.
Mbona sikuelewi mkuu? umeulizwa COW mbona hawamsaidii kenya? Na wewe ni kipenzi cha kagame, mbona kimya hawamsaidii swahiba wao?
Mkuu lawmaina78 hapa naona serekali ya Jubilee inaendeleza mpango wake haramu wa kuwatenga na kupambana nawajaluo badala ya Al shabab
Ni ushabiki tu. anaendeshaje uchumi wake? kwenda kuwaua wacongo na kuiba madini yao? Amejenga nymba yake juu ya mchanga na siyo mwamba. Na wale jamaa wa msituni mbona wameweka siraha chini lakini hawataki? simply because ni wahutu?Wamsaidie kwa nini, kwani yupo kwenye vita? na ameomba usaidizi? Pili, mimi sio kipenzi cha Kagame, huwa sipendi anavyotuhumiwa kuwamaliza wapinzani wake, ila jamaa namkubali kwa jinsi anavyoendesha uchumi wa nchi yake
Ni ushabiki tu. anaendeshaje uchumi wake? kwenda kuwaua wacongo na kuiba madini yao? Amejenga nymba yake juu ya mchanga na siyo mwamba. Na wale jamaa wa msituni mbona wameweka siraha chini lakini hawataki? simply because ni wahutu?
Kamwambie Uhuru asijaribu kumbebesha Laila hilo saga ataivunja Kenya vipandevipande. Haki kabisa iapokuwa sipendi majisifu yenu pia sipendi kenya isambalatike.
Unajua kabisa kenya hakuns vyama vya siasa bali Muungano wa makabila.
Mwambie Uhuru hey don't try this at state house
Mkulu UK kavurugwa. Hajui mapigo anayopata yanatoka wapi. Na Mara nyingi MTU mwenye kawaida ya kudhulumu ndiyo matokeo yake. Siku zote hana uhakika akipatwa na jambo baya. Akili yake huwa inatangatanga kutafuta mchawi, hususan wale aliowahi kuadhulumu. Sasa kenyatta anabuni sijui ni wale nilioua ndugu zao back 2007, sijui ni cord, sijui alshabab. Yeye anahaha tu.
Ana maadui wengi anaowahisia, lakini adui anayeweza kufanya vile anajulikana na amekili kuhusika. Kumfuata fuata Raila ni ishara ya kuchanganyikiwa. Pole UK hiyo ndiyo ikulu. Waliosema si mahala pa kukimbilia hawakukosea.
Vile vile SADC wameshindwa kuwasaidia ninyi kuzuia mabomu Zanzibar, Arusha na magaidi wengine tunaskia wanaitwa Panya huko Dar es Salaam.
Ndio gharama ya kuwa rais wa nchi, kawaida mapigo hukumbana nayo tokea pande zote. Hivi sasa Obama hajui shughuli ya Iraq ataimaliza vipi maana Bush alianzisha.
Naye Jakaya katiba inamzingua Tanzania, kuna jamaa wanajiita UKAWA mara ya mwisho niliona walisusia vikao, sijui kama wamerejea. Mabomu Zanzibar na Arusha.
Museveni naye amepigwa mkwara na Obama kwa ajili ya msimamo wake dhidi ya ushoga.
Jonathan huko Nigeria nchi imemlemea hadi watoto wanabakwa na vikundi vya Kiislamu.
Naweza nikakupa orodha kubwa ya changamoto zinazowakumba marais dunia, hivyo usiajabike ya UK pekee yake.
Atakayepatikana na hatia atabeba mzigo tu, awe nani wala nani, Wakenya wanasubiri tena kwa hamu sana kieleweke. Huwa hatuchelewi, hatukawii na kawaida hatuogopi inapofikia maamuzi.
Brother be serious. The situation in Kenya is at epidemic proportions. We inajulikana kabisa alshabab ndiyo waliohusika. Halafu yeye anatapatapa kwa kumsingizia Raila. Sikiliza maina usipunguze ukubwa au uzito Wa tatizo kwa kufanya ulinganisho ambao hauna tija. Huko kuficha ugonjwa kwa miaka 50 ndiyo gharama yake. Mumekuwa na ubaguzi Wa muda mrefu sana. Makabila mawili au matatu ndiyo mnaona bora. Wengine duni. Wee jifariji tu kulinganisha al shabab ya Kenya na ukawa ya TANZANIA.
Vile vile SADC wameshindwa kuwasaidia ninyi kuzuia mabomu Zanzibar, Arusha na magaidi wengine tunaskia wanaitwa Panya huko Dar es Salaam.
Wewe hujui kinacho endelea,subiri utaona matokeo yake,hao magaidi dawa yao inapikwa na imegundulika nimpango uliosukwa na wafaransa na southafrika ili kumuondoa uhuru kwa kumtumia laila,hayo mabomu si ya alshababu.
Nimekueleza mimi sio shabiki wa Kagame, jamaa simpendi kwa tuhuma za kukandamiza demokrasia hadi kuwafuata wapinzani na kuwanyongea Afrika Kusini, ila namkubali sana jinsi amebadilisha uchumi wa nchi yake.
kwa sasa Rwanda inafaa kufuatwa kama mfano na nchi zote Afrika, yaani nchi ndogo isiyo na madini, na hata vivutio vyake vya utalii bado duni, lakini wamekaza buti na kuibuka washindi. Ninyi mumekomalia tu kwamba wanaiba madini Kongo, kwani hao Wakogo ni mabwe.ge wame wanaibiwa kila siku.
Nani asiyefahamu kuwa wizi wa madini Congo umehusisha nchi nyingi hata za ughaibuni. Wakongo kama wameruhusu ulimwengu uwakojolee, hiyo ni shida yao na wao, tatizo lenu nini, afu hata kwenu taarifa zinaonyesha madini yenu hayawanufaishi wananchi wa kawaida, badala ya kusuluhisho hilo mmekimbilia kumuita Kagame mwizi, hebu soma hapa Home
Kagame amefaulu sana Rwanda kiuchumi.
- Kwa miaka mitano tu, GDP imekua kwa asilimia nane
- Nchi yake haina madini, ametegemea sana ukuaji wa utalii na huduma
- Amefanya mabadiliko makubwa kwenye technolojia ya nchi
Hebu isome Vision 2020 ya Rwanda na milestones ambazo wamefaulu kutimiza. Kwanza weka chuki na wivu pembeni halafu usome taratibu, baada ya kuelewa baadaye ivae hiyo chuki tena.