Nimekueleza mimi sio shabiki wa Kagame, jamaa simpendi kwa tuhuma za kukandamiza demokrasia hadi kuwafuata wapinzani na kuwanyongea Afrika Kusini, ila namkubali sana jinsi amebadilisha uchumi wa nchi yake.
kwa sasa Rwanda inafaa kufuatwa kama mfano na nchi zote Afrika, yaani nchi ndogo isiyo na madini, na hata vivutio vyake vya utalii bado duni, lakini wamekaza buti na kuibuka washindi. Ninyi mumekomalia tu kwamba wanaiba madini Kongo, kwani hao Wakogo ni mabwe.ge wame wanaibiwa kila siku.
Nani asiyefahamu kuwa wizi wa madini Congo umehusisha nchi nyingi hata za ughaibuni. Wakongo kama wameruhusu ulimwengu uwakojolee, hiyo ni shida yao na wao, tatizo lenu nini, afu hata kwenu taarifa zinaonyesha madini yenu hayawanufaishi wananchi wa kawaida, badala ya kusuluhisho hilo mmekimbilia kumuita Kagame mwizi, hebu soma hapa
Home
Kagame amefaulu sana Rwanda kiuchumi.
- Kwa miaka mitano tu, GDP imekua kwa asilimia nane
- Nchi yake haina madini, ametegemea sana ukuaji wa utalii na huduma
- Amefanya mabadiliko makubwa kwenye technolojia ya nchi
Hebu isome Vision 2020 ya Rwanda na milestones ambazo wamefaulu kutimiza. Kwanza weka chuki na wivu pembeni halafu usome taratibu, baada ya kuelewa baadaye ivae hiyo chuki tena.