Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

huyo kocha anatudanganya hapa wazi wazi eti shida golikipa, shida ni wao kupoteza mipira hovyo hovyo kwenye nusu yao
Mkuu shida ni kipa hayo magoli angekua matampi asingefungwa

Matampi ndio gokikipa bora wa NBC msimu uliopita

Hayo magoli angekuwa yule kipa wa red arrow asingefungwa
 
Mkuu shida ni kipa hayo magoli angekua matampi asingefungwa

Matampi ndio gokikipa bora wa NBC msimu uliopita

Hayo magoli angekuwa yule kipa wa red arrow asingefungwa
sasa hapo unaangalia final actions tuu, rudi nyuma sekunde 10 ndio utajua tatizo lipo wapi
goli la kwanza na la mwisho chanco ni kupoteza mpira kwenye nusu yao.
goli la pili na la tatu back line wanashindwa linda eneo la nyuma yao huku kukiwa hakuna pressure kwenye mpira.
 
Attachments

  • D4D308F9-5A6C-45F8-B501-98946F1B0198.jpeg
    D4D308F9-5A6C-45F8-B501-98946F1B0198.jpeg
    107.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom