Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Uwanjani au ukumbini¿Uwanjani Kuna free WiFi tupo online kwa ajili ya kukupa updates za magoli ya yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanjani au ukumbini¿Uwanjani Kuna free WiFi tupo online kwa ajili ya kukupa updates za magoli ya yanga
PoleSio mbaya Azam tukutane fainali
😀😀😀😀😀Walijifanya wanaijua Pemba kuliko Azam?
Mimi ni azamSio mbaya Azam tukutane fainali
Ahsante sana mkuuPole
😀😀😀😀😀Mtu amekula mkono, mashabiki wa Simba jasho linawatiririka.
Hahaa 😂Walijifanya wanaijua Pemba kuliko Azam?
Tukutane fainali mkuuMimi ni azam
Sawa, chukulia poa ni mchezo tu lakiniTukutane fainali mkuu
vyura nao itawakutahatari naona azam wamempa mtu mkono.....
Sawa mkuuSawa, chukulia poa ni mchezo tu lakini
Na hao Azam ndio watakutana na mnyama final ya Ngao ya jamii?Hawa coastal ndo wanaenda shirikishoo 😅
yetu macho mwanawane.vyura nao itawakuta
Lazima tumchape mnyamaNa hao Azam ndio watakutana na mnyama final ya Ngao ya jamii?
Hizo tv za nchi hizo zina style yake mkuu bila kufumba jicho moja hutoboiUmeonaje mkuu, unanipa shida mimi natumia tv nchi 15, wachezaji nawaona kama nukta nukta
Mkuu umejuajeCoastal asipobadilika tunaweza kushudia Bao tano mapema [emoji1787]
Ngoja tupne dk 90Makolo wakae mkao wa kuchapwanao
Mie natizama kwa mwenyekiti wa kijiji ana tv ya nchi 32Umeonaje mkuu, unanipa shida mimi natumia tv nchi 15, wachezaji nawaona kama nukta nukta
Amani kwa Mama kizimkazi.