Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

Hawa Coastal huko kimataifa wanaenda kucheza nini?
Mi Kwa mtazamo wangu Azam ni timu Bora sana wala Coastal sio wabovu kiivyo maana kama unaangalia game utaona wapo vizuri ila Azam ni Bora ...

Timu inapokua na kocha mmoja Kwa muda mrefu pia wachezaji walewale inakua very strong.. na hata ukiangalia usajili wa Azam n wa kimkakati sio wa kukurupuka.. Angalia pia pre season yao ilikua ipo kimalengo na ndo inaanza kuwalipa taratibu....
 
Kimataifa unakutana na timu zenye uwezo pengine kuzidi Azam
 
Back
Top Bottom