Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

Ndo maan mpira wa bongo wakichoko sasa pale offside gan?
 
Naona Azam anaongoza Bao Moja bila lakini kwenye Uzi hapo juu imeendelea kusomeka bila bila 🙌
 
Naona Azam 1 Costal Union 1 dakika ya 28 🙌
 
Haya mangoma yangepigwagwa marufuku tu maan nikeleleee
 
Back
Top Bottom