sasa hapo unaangalia final actions tuu, rudi nyuma sekunde 10 ndio utajua tatizo lipo wapi
goli la kwanza na la mwisho chanco ni kupoteza mpira kwenye nusu yao.
goli la pili na la tatu back line wanashindwa linda eneo la nyuma yao huku kukiwa hakuna pressure kwenye mpira.