Coastal Union yamsajili Ali Kiba kwa mkataba wa mwaka mmoja

Coastal Union yamsajili Ali Kiba kwa mkataba wa mwaka mmoja

Mkae mkijua ali kiba anachezea costal bila malipo yoyote ni kama amejitolea kuitangaza
 
Dodo anaujua sana mpira ila nadhani wakati wa umri sahihi akajikuta ameegemea kwenye muziki ila kwa soka letu namuona Kiba akilimuda tu bado mpira upo miguuni nakumbuka Julio amekua anamtaka sana Kiba amsajiri kwa muda mrefu atakua kamaindi sana dogo kwenda Coastal Union.
 
ILa ao cost nao wajinga tu Ali kiba ni avarage player bora hata Geoffrey mwashiuya
 
nafikiri atakuwa mhamasishaji maana akiingia uwanjani atatoa maboko sana
Kiba 2006 alicheza copa coca cola

Ligi kubwa za jangwani alikuwa anacheza na timu aliyokuwa anachezea ni gonga fc nk na alishawahi kuwa top scorer kwenye moja ya ligi na pia Uganda aliwahi kuwa top scorer

Kiba mpira anaujua kwa kiasi chake inaweza isiwe kwa levo ya ligi kuu ila sio garasha ambaye hata control ,pass hajui
 
mpira kweli umeisha yaani ali kiba wa kucheza ligi kuu? enzi zangu niko dimbani hata kushika viatu vyangu asingepata nafasi
Kila kitu na wakati wake,wewe si unahubiri injili huko Marekani,kuna watu pia watasema hawezi kuja kusali kanisani kwako,bora akae tu nyumbani!
 
Back
Top Bottom