JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hakuna anayelazimisha ubaya ila bora wangekaa kimya tu maana ndio wamechafua kabisa hali ya hewa. Yaani kocha hana mkataba halafu anaiongoza timu, kituko hikiMlitakaje? Si ndo mlichotaka wadau? wamewaambia hawana mkataba nae mbona mnalazimisha ubaya?.
Makocha Wazawa hawana mikataba ya kueleweka kwa maana nyingneKocha asiyekuwa na mkataba, anakaa kwenye benchi la ufundi kwa kigezo kipi? Kumbe ligi yetu inaeuhusu ma day worker (madeiwaka)
Mi nasemea kwa simba kumchukua kumbe ni hiari yake binafsi hana deni na coastalHakuna anayelazimisha ubaya ila bora wangekaa kimya tu maana ndio wamechafua kabisa hali ya hewa. Yaani kocha hana mkataba halafu anaiongoza timu, kituko hiki
Angalia huyuNaona Karia na Kidau wanajaribu kuficha aibu. Baada ya mtoto wao pendwa kuwavua nguo!
Mwingine huyuKwa hiyo makocha wengi wa NBC premier league ni madeiwaka, kwa hiyo TFF hausiki na makocha manake kama hivyo hata mtu yoyote anweza kupiga deiwaka kwenye timu zetu za NBC.Daah huu mpira wetu kivyetuvyetu, ila tuliosoma CUBA tushaelewa.
Simba na Coast mmetisha mpo vizuri.
Huyu ndo kabisaaa yani bora wale wawili wa mwanzoLongolongo tu bin ubabaishaji.
Mwengine huyu hapa.Mwingine huyu
Hao ndio walivyo, kiwe kizuri watasema tu, kikiwa kibaya ndio utaona na chuki zao zilipoMlitakaje? Si ndo mlichotaka wadau? wamewaambia hawana mkataba nae mbona mnalazimisha ubaya?.
Wangekaa kimya uzushi wenu ungekuwa na nguvu. Sasa hiyo comeback walioifanya Coastal hamjaipenda maana imeonesha hoja zenu hazikuwa sahihi.Hakuna anayelazimisha ubaya ila bora wangekaa kimya tu maana ndio wamechafua kabisa hali ya hewa. Yaani kocha hana mkataba halafu anaiongoza timu, kituko hiki