Coastal Union yatoa tamko kuwa haina mkataba na Kocha Mgunda

Kocha asiyekuwa na mkataba, anakaa kwenye benchi la ufundi kwa kigezo kipi? Kumbe ligi yetu inaeuhusu ma day worker (madeiwaka)
Technical bench haikaliwi na makocha peke yake, kuna hadi physiotherapist wanakaa
 
Juma mosi na nyie mna mechi, mnaacha kudili na mambo yenu mjue jinsi gani mnaweza pata hata sare nyie mnakuja kujadili ishu ya Simba

Mkifungwa lawama ziende kwa TFF
 
Wangekaa kimya uzushi wenu ungekuwa na nguvu. Sasa hiyo comeback walioifanya Coastal hamjaipenda maana imeonesha hoja zenu hazikuwa sahihi.

Kueleza kwao kuwa hawana mkataba naye ni jambo baya ukilinganisha na wao kukaa kimya?
Hilo nililisema hapa lakini wapambe wakaja kunibisha kihisia
 
Wangekaa kimya uzushi wenu ungekuwa na nguvu. Sasa hiyo comeback walioifanya Coastal hamjaipenda maana imeonesha hoja zenu hazikuwa sahihi.

Kueleza kwao kuwa hawana mkataba naye ni jambo baya ukilinganisha na wao kukaa kimya?
Kocha asiye na mkataba anaruhusiwa kukaa benchi ya ufundi kuongoza timu?

2) kocha hana mkataba na coastal union sasa Simba kwenye barua yao wanawashukuru vipi hao Coastal union?
 
Kocha asiye na mkataba anaruhusiwa kukaa benchi ya ufundi kuongoza timu?

2) kocha hana mkataba na coastal union sasa Simba kwenye barua yao wanawashukuru vipi hao Coastal union?
Movies yao Coast, TFF na Simba wamechemka kwenye script, continuity hamna,ila tuliosoma CUBA tumesha waelewa.
 
Technical bench haikaliwi na makocha peke yake, kuna hadi physiotherapist wanakaa
Point sio kukaa bali je shirikisho letu la soka linaruhusu timu za ligi kuu kuchukua mtu yeyote yule akae kwenye benchi la ufundi?
 
Point sio kukaa bali je shirikisho letu la soka linaruhusu timu za ligi kuu kuchukua mtu yeyote yule akae kwenye benchi la ufundi?
Kwani mechi yenu ya fainali na Coastal hakukuwa na watu waliokaa benchi la Coastal?

Yule kijana mliyempiga akaja kufariki kesho yake hakukaa benchi la Coastal?
 
Hakuna anayelazimisha ubaya ila bora wangekaa kimya tu maana ndio wamechafua kabisa hali ya hewa. Yaani kocha hana mkataba halafu anaiongoza timu, kituko hiki
Mgunda alikuwa mkurugenzi wa ufundi wakati coast kocha akiwa mzungu ,baada ya mzungu kuondoka kaichukua team ,Sasa walikuwa kwenye mazungumzo,kama ulishawahi kufanya kazi za mikataba ni kawaida ,unaweza kufanya hata miezi mitatu kabla ya kusaini mkataba mpya kwenye nafasi nyingine
 
Karia na Kidau hawahusiki na haya, acha kutunga Uong
Ukute wewe ni Cliford Mario Ndimbo.
Hivi unakumbuka kipindi kile Ade Lage alikuita jina gani?😊😊😊😊😊
 
Aibu kubwa mno. Kocha wa timu inayoshiriki ligi kuu, kuazimwa kwwnda kuwa kocha wa timu nyingine inayocheza Ligi kuu. Acha kuhamisha magoli, kasome taarifa ya CEO, amewashukuru viongozi wa Coastal kwa kukubali kuwaazima
 
Mbona kwenye barua ya Simba inadai Simba na Costals wamekubaliana inakuaje tena Coast wanasema hawakua na mkataba? au mimi ndio nna kichwa kigumu
 
Haya makibalianao yalikua ya nini kama hana mkataba?
 
Nasikiliza sasa hivi UFM michezo mda huu, asuhuhi Afisa habari wa Coast alisema wame mruhusu Mgunda kwa mechi hizi mbili, akimaliza atarejea kwa ajili ya kuifundisha Coast. Ila jioni wanaongea jengine na jana Simba wanasema wana ishukuru Simba kwa kuwapatia Mgunda aisimamie Simba kwenye mechi mbili za kimataifa,baada ya hapo atarudi coast.

Hili movies Simba na Coast kwenye script wamechemka, hawa helewani na hamna continuity,ila wanangu wa Simba mmetisha sisi tuliosoma CUBA tuna waelewa.
 
Unaumia moyo au roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…