Unashindwaje kusoma barua ya coast union , unanilazimisha nikasome barua ya CEO wa Simba ,mgunda alikuwa coast au Simba?Tumia akili vizuri huyo CEO wa Simba anaijua coast kuliko viongozi wa coast wanaosema mgunda alimaliza mkataba na walikuwa kwenye mazungumzo?Narudia Tumia akili.Aibu kubwa mno. Kocha wa timu inayoshiriki ligi kuu, kuazimwa kwwnda kuwa kocha wa timu nyingine inayocheza Ligi kuu. Acha kuhamisha magoli, kasome taarifa ya CEO, amewashukuru viongozi wa Coastal kwa kukubali kuwaazima
Imewakataa vipi?
Ulikuwa unakimbilia wapi?Hii imekaaje kitaalam
Coastal wanatupiga kamba. Wameona hiki jambo limekaa vibaya wamekuja na ajenda za Mgunda kutokua na mkataba.
Swali: Mgunda kama hana mkataba pale alikua anasimama kama nani kwenye mechi za ligi kuu?
Hakuna anayejali, tunajua huu ni mpango wa Karia.Hii imekaaje kitaalam
Ipi?Hii imekaaje kitaalam
Unamaanisha nchi ya Somalia, au Somaliland?ndo mjue Simba ni timu ya nchi hii.