Coca Cola Company wamewezaje kuendesha biashara duniani kote bila kumiliki kiwanda wala magari ya kusambaza soda zao tofauti na Pepsi?

Franchisee lazima awe mwaminifu ili asichafue brand lazima wakupokonye license ili kulinda brand yao akizingua
 
Uzi mzuri. Hapo ukifuatilia kwa karibu kuna sababu kadhaa.Moja ,cocacola inapwa backup moja kwa moja na serikali ya Marekani.Ukirejea kwenye ule mgogoro wake na China,walipozuia huawei ,China wakatishia kuzuia cocacola kuuzwa China, srikali ya Marekani wakarudi nyuma. Kwa hiyo Africa kuna vichwa kama Dongot katengeneza kiwanda cha kuchakata mafuta namba moja kwa uwezo duniani,leo hii shirika la mafuta Nigeria (NNPC) washamgeuka kibali . Na mwisho advantag ya cocacola ndiyo kampuni inayoongeza kutumia nguvu kubwa kweny matangazo duniani ,hivyo ni rahisi pia kuuza zaidi. Kumbuka cocacola wana muwakilishi kila nchi kwa ajili ya kuonja sampl za kila batch, (Hii walitueleza tulivyotmbelea Cocacola Mbeya branch), hivyo wanatumia cost kubwa mnoo.
 
Mfumo wa Franachise hauko kwa cocacola pekee, rudi tena kasome, Cocacola hawamilik Magari yapi? yale ya Nyanza Bottle au Bonite ni ya kwenu?

Mfumo wa Franchaisee upo pia kwenye migahawa na biashara zingine.
 
They own the 'brand name' and the 'syrup secret'
Ilikuwa zamani, Usha soma kisa cha Kule Urusi baada ya kuanza Vita Ukrinr na kampuni za Wazungu kuondoka Urusi ikiwemo Cocacola? Warusi wanazalisha hizo soda taste ni hio hio utofauti ni majina tu.
 
sio hisa zote alizonunua zilifanya vizuri
 
Nawaza Ladha ya Cocacola Hapa mkoani kwangu inaweza ikawa tofauti na cocacola niliyoletewa kutoka New York city?
Majibu kutoka kwako msomaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…