Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mi naomba kujua mtazamo wako
Je kwa mtazamo wako hicho wanachofanya Coke kupitia hawa wasanii wakubwa kibongo bongo sio promo?
Ok nini? Umekubali kwamba umechemka?
Kwa mtazamo wangu ni promo.
Lakini hawatumii wasanii tu.
Wanatumia mtu yeyote apendaye jina lake liwepo kwenye chupa au kopo la soda zao.
Kama unakubali ni promo na msanii anapotumika kwenye promo anategemea malipo sasa tatizo la Wolper kuhoji wmetumika kijanja ni nini?
Mtu yeyote kutumika katika promo si lazima apate malipo na kwa mantiki hiyo si lazima ategemee malipo.
Ndiyo maana nimekuwa nikihoji kama kuna watu humu waliousikia upande wa Coca-Cola ukisema nini kuhusu suala zima.
Ndiyo maana nimeuliza humu kama kuna ambaye anayajua makubaliano au maafikiano ambayo pande zote mbili ziliyafikia, hakuna aliyejitokeza na kusema anajua zaidi ya Le Mutuz ambaye alikuwa mmoja wa waliopewa hayo makopo.
Na alichokisema Le Mutuz humu kinakinzana na kinachosemwa na wengi. Yeye (Le Mutuz) kasema waliohusika na kuchagua majina ya watu kuwekwa kwenye hayo makopo ni kampuni ya ICL na si Coca-Cola wenyewe.
Na kaongeza kuwa hao ICL waliwasiliana na hao watu na wakawaeleza kinachoendelea. Waliokubali walipewa hizo 'zawadi' zao na waliokataa hawakupata kitu hivyo na picha hawakupigwa.
Binafsi nahitaji taarifa zaidi ili niweze kuhitimisha kama kweli kuna unyonywaji au la.
Lakini vilevile nashangaa kuona baadhi ya hao waitwao wasanii, watu ambao mtu ungedhani wana tajiriba ya kutosha na mambo ya mikataba na makubaliano, badala ya kwenda sehemu husika kudai haki yao, wanakimbilia kwenda kwenye mitandao ya kijamii na kulialia.
Mtu yeyote kutumika katika promo si lazima apate malipo na kwa mantiki hiyo si lazima ategemee malipo.
Ndiyo maana nimekuwa nikihoji kama kuna watu humu waliousikia upande wa Coca-Cola ukisema nini kuhusu suala zima.
Ndiyo maana nimeuliza humu kama kuna ambaye anayajua makubaliano au maafikiano ambayo pande zote mbili ziliyafikia, hakuna aliyejitokeza na kusema anajua zaidi ya Le Mutuz ambaye alikuwa mmoja wa waliopewa hayo makopo.
Na alichokisema Le Mutuz humu kinakinzana na kinachosemwa na wengi. Yeye (Le Mutuz) kasema waliohusika na kuchagua majina ya watu kuwekwa kwenye hayo makopo ni kampuni ya ICL na si Coca-Cola wenyewe.
Na kaongeza kuwa hao ICL waliwasiliana na hao watu na wakawaeleza kinachoendelea. Waliokubali walipewa hizo 'zawadi' zao na waliokataa hawakupata kitu hivyo na picha hawakupigwa.
Binafsi nahitaji taarifa zaidi ili niweze kuhitimisha kama kweli kuna unyonywaji au la.
.
Narudia tena si kila dhuluma lazima imalizwe mahakamaniLakini vilevile nashangaa kuona baadhi ya hao waitwao wasanii, watu ambao mtu ungedhani wana tajiriba ya kutosha na mambo ya mikataba na makubaliano, badala ya kwenda sehemu husika kudai haki yao, wanakimbilia kwenda kwenye mitandao ya kijamii na kulialia.
Unapoiambia serikali ikutetee ni sawa na kuipa coca cola muda wa kuendelea na mauzo kwa hilo jina lako.
Coca cola hawana wasi wasi maana hata hakimiliki kwenu ni shida na mnapenda kuandikwa bila manufaa.
Igeni mifano ulaya, utajiri wa 50 ulitokana na mauzo ya coca cola kwa sehemu kubwa.
1) Hilo jina la Wolper ni jina lake kweli?
2) Kama ni jina lake, nchi nzima hakuna mwingine mwenye hilo jina?
3) Ni kweli kabisa kuwa Coca-Cola iliandika tu hayo majina bila hata kuwasiliana na hao wasanii?
4) Coca-Cola wameshatoa le tamkoz lolote kuhusiana na hilo suala?
hueleweki,what is your point?Narudia tena si kila dhuluma lazima imalizwe mahakamani
Wasanii ni watu wakawaida tu kama wewe, kuwa msanii tena wa kibongo hakumaanishi unajua sheria na mikataba
Instagram na social media zingine kwa dunia hii ni sehemu ya maisha ya wasanii, kusema wanalilia insta sio sahihi maana huko wanashare kila kitu na fans wao
Hivi wewe hujasikia huko uliko mara kibao wasanii wanalalamika kwenye social media zao labda fulani kaniibia beat yangu nk?
Ila ikifanyika bongo ni kulialia
Narudia tena si kila dhuluma lazima imalizwe mahakamani
Wasanii ni watu wakawaida tu kama wewe, kuwa msanii tena wa kibongo hakumaanishi unajua sheria na mikataba
Instagram na social media zingine kwa dunia hii ni sehemu ya maisha ya wasanii, kusema wanalilia insta sio sahihi maana huko wanashare kila kitu na fans wao
Hivi wewe hujasikia huko uliko mara kibao wasanii wanalalamika kwenye social media zao labda fulani kaniibia beat yangu nk?
wolper bana... Njaa kali.. Sasa simple kweshen ana hati miliki ya hilo jina???? From there ndo unaweza ku'claim... Ingekuwa picha sawa.. Ila jina.. No way.. Sio registered brand.. Hakuna mwana wa sheria atakayeshulika na upuuzi huo.. Ndo maana kila siku mnashauriwa fanya jina lako kuwa brand na lisajili.. Kama unaoona wolper wapo wengi we ongeza tu iwe woolper kuleta utofauti then sajili... Mbweha wewe!!!!
Tatizo hata la saba hakumaliza.. Fisi maji mkubwa
EMT hivi Wolper angeenda mahakamani ndio ungeona madai yake ni valid
Unatumia msuli mkubwa sana kuelezea hatua ya mwisho(mahakamani) badala ya awali ( kosa lipo au la) itakayopeleka hiyo ya mwisho kufanikiwa au la
Ni kama sasa hawana haki ya kulalamika sababu hawajenda mahakamani or the so called blah blah blah latter
Rihana hakukurupuka kwenda mahakamani alikaa na wataalamu wakadadafua wakaona ipo kesi then wakasonga front........ Hichi ndicho anachoulizia wolper kwa watu wenye uelewa na mambo haya
Lakini sasa ninyi mnaojifanya mnajua sana hamutaki kumshauri badala yake mnamuona hana haki sababu hajaenda mahakamani tu
Kwa jicho huru kabisa naomba soma tena alicho andika Wolper then rudi hapa kujibu She is just a layman anayeona kunakitu hakipo sawa na anaomba utaalamu......thats all