Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Sasa kama kujitangaza sio lazima ulipie tatizo liko wapi?

Hakuna nilichosahau.

Kama kipo, kiweke hapa.

Haiwezekani mtu msahaulifu ajue kwamba hajasahau.
Sasa kama kujitangaza sio lazima ulipie tatizo liko wapi?

It is a problem if it's proven you're taking advantage and exploiting others.

2) Kama ni jina lake, nchi nzima hakuna mwingine mwenye hilo jina?​

3) Ni kweli kabisa kuwa Coca-Cola iliandika tu hayo majina bila hata kuwasiliana na hao wasanii?​

4) Coca-Cola wameshatoa le tamkoz lolote kuhusiana na hilo suala?​
Haya umeyaandika pengine kuashiria kwamba huenda kuna tatizo kwenye zoezi la Coka-cola, au sivyo?
 
Haiwezekani mtu msahaulifu ajue kwamba hajasahau.
It is a problem if it's proven you're taking advantage and exploiting others.

Haya umeyaandika pengine kuashiria kwamba huenda kuna tatizo kwenye zoezi la Coka-cola, au sivyo?

Hujaonyesha popote pale ambapo nimesahau.

Umerudia tu kunukuu mabandiko yangu bila maelezo ya kivipi nimesahau kama unavyodai.
 
Kama kulikuwa na undue influence, was it actual or presumed?

Regarding duress, hata economic duress haiwezi kufanikiwa?

Some may even try to argue kuwa it was unconscionable bargain, but sidhani hili suala linafika huko.

As they say buyer be aware.

Yes,i'ts true.hawa watu hawana ma consultanty she loss.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hujaonyesha popote pale ambapo nimesahau.

Umerudia tu kunukuu mabandiko yangu bila maelezo ya kivipi nimesahau kama unavyodai.

Exactly! Know you know how it is like to pick a single item to reply to and leave out the main issue that is being discussed.
 
I knew it.

Huwezi kunionyesha kwa sababu hakuna nilipojichanganya.

- Jamani labda shule mpya zina elimu mpya sana, I mean Cocacola wametengeneza kopo wametumia jina lako wanakupigia simu kwamba wamekutengenezea kopo, huwaambii kwamba hutaki": Cocacola wanakuomba uwaambie upo wapi wakuletee kopo lenye jina lako unawaambia ulipo na kuwasubiri wanakuja wanakupa kopo wanakuomba na picha unakubali and then wewe mwenyewe unapiga picha kopo na jina lako unaliweka Instagram na kulalamika kwamba kwa nini wametumia jina lako, jamani kama kweli this is a new education basi mimi sitaki elimu tena cause this is just out of the line!!

Le Mutuz
 
Ma nigga, I'm just as baffled as you are.

Halafu ngoja nikuulize, hivi nikienda kwa Mangi kununua soda ntazikuta zenye jina la huyu Wolper?
 
Hapa nchini kama umelilipia,kibali jina lako unaweza kusema lolote mtu akilitumia vibaya je la kwake amelipia jina hlo????
 
EMT unapaswa kutambua kwamba kuna wasanii kwa hiyari yao wenyewe walikubali kwenda kwenye hiyo hafla na kupiga mapicha baada ya kupigiwa simu kuwa eti kuna "zawadi" zao wanataka kupewa na Coke, hawa hawajalalamika zaidi ya kutoa shukrani kedekede kama le mutuz

Lakini pia wapo wasanii waliogoma kwenda baada ya kupigaiwa simu na kuambiwa eti kuna zawadi zao za mabango ya makopo ya coke YENYE MAJINA YAO na wanatakiwa waende kwenye hafla ya kukabidhiwa then wapige mapicha na kutupia istagram zao na social media za coke
Hawa ndio wanaolalamika

Tunarudi pale pale celebrity ni watu wenye ushawishi mkubwa popote duniani na hawa ndio hutumiwa na makampuni duniani kote kufanya matangazo
Ronaldo analipwa mamilioni ya usd just kwakuvaa viatu vya nike na anapewa viatu hivyo bure..... Why?

Msanii unapaswa kujitambua kwamba wewe ni brandy inayotakiwa kutemgeneza pesa kwa namna mbalimbali
Msanii yeyote anapaswa kutambua kuwaita wasanii wakubwa sehemu moja kwenye tukio la kuwapatia kitu chochote chenye nembo ya biashara na kuwataka waweke kwenye social media zao ni kutangaza biashara husika...... Sielewi mnashindwa kuelewa nini haswa katika hili

Sharecoke haijaanza tz pekee ipo inazunguka duniani na kila nchi wahusika wanapewa namna ya kuangalia jinsi watakavyofanya kupata hayo majina
Hivi kweli USA unampigia tu simu Lily wyne au 50cent au Maywhether eti njoo lmg grand tumetengeneza bango la kopo la coke lenye jina lako tuje tukukabidhi tupate na picha na utupie kwenye social media zako...... Kweli inawezekana? Bila makubaliano yoyote kabla unabandika tu 50cent?

Narudia tena Wolper hakukuta kopo limeandikwa wolper ndio akalalamika maana anajua wolper wapo wengi tu,
Coke wenyewe ndio wamempigia simu na kumwambia njoo kwenye hafla tukukabithi bango la kopo la coke lenye jina lako
Kwa msanii anayejutambua kwake yeye hii ni biashara sababu jina lake na yeye ni brand ya biashara....period
Kwanini hawakumfuata mwajuma wa mbagala wakauze naye sura mlimani city na mapich ya insta? Why wasanii wakubwa ndio wauze sura kwenye hiyo hafla ya kukabidhiwa?
Unahitaji kujua kwa undani maana ya marketing kulijua hili

Mwisho si sahihi kusema eti wanalialia kwenye social media badala ya kwenda mahkmani, si kilakitu unakwenda mahakamani jamani, hata akina Dr slaa wanadaigi kutoshiwa maisha lakini hawaendi mahakamani
Maisha ya sasa kwa wasanii social media inabeba sehemu kubwa sana na ndio hutolea madukuduku yao tofauti na zamani hadi uitishe media conference

Ni ufinyu wa kudadafua mambo kunakopelekea watu kuaminishwa eti coke "wanawaenzi" wasanii kwa kuwapatia hayo mabango ya makopo yenye majina yao wakati kumbe wenzao wanafanya marketing kubwa sana

Binafsi naweza kusema huu ni mwanzo mzuri wa wasanii kuanza kujitambua kwamba wao kama wao na majina yao ni brand
Kuwatumia wasanii kama hivyo sio vibaya isipokuwa kuwepo na makubaliano kabla hata kama itakuwa ni bila malipo na si kukurupuka na kupigiwa tu simu eti njoo mlimani city kunaHafla ya kukabidhiwa kopo lako LENYE JINA LAKO

Tambua coke wakindika juma basi juma neture hawezi kulalamika wala
 
Last edited by a moderator:

- Mkuu maelezo hayapo sawa unaona hapa ndipo ninapoamini kwamba lazima kuna agenda tofauti na mnachokisema, mkopo yalitolewa Jumatatu siku ya siku kuu, hafla ilifanyika Alahamis sasa mbona unaunganisha two different events ambazo hazina uhusiano, unaruka step ya kwanza kwa sababu itakubana kwamba ni makosa ya Wasanii sio Cocacola, ninarudia tena unachojaribu kukiruka which the key to this ishu,

- Ni kwamba Cocacola waliwapa ICL kazi ya promotion, ICL wakatenengeza makopo yenye majina ya wati waliowachagua wao kuwa ndio wawe wa kwanza kupokea makopo hayo, wakaanza kupiga simu siku kama nne kabla kwamba wana kopo la Cocacola lenye jina lako na watakutafuta wakuleteee ukikubali wanakuletea na ukikataa hawakuletei, sasa huyu Msanii wako kwa nini walipompigia simu ya kwanza hakukataaa? And then siku ya Jumatatu ilipofika wanapiga tena simu kuulizia upo wapi ili wakuletee kopo another opportunity ya kukataa lakini wakakubali na wakafuatwa na kupewa makopo na picha ambazo walizi post wenyewe Instagram, leo eti kilio kwa nini Cocacola wamenipa kopo? Please muogopeni Mungu kidogo na uongo mnaoutunga ndio ninasema kuna agenda ya siri na this ishu ila itajulikana tu si unajua nipo upande wa pili wa this ishu!! hahahahaha

- Kesho nina Interview na Mboni TV Show masaa mawili one of the ishu ni hii nitaichana chana kama ninavyoujua ukweli wake!!

Le Mutuz
 
EMT unapaswa kutambua kwamba kuna wasanii kwa hiyari yao wenyewe walikubali kwenda kwenye hiyo hafla na kupiga mapicha baada ya kupigiwa simu kuwa eti kuna "zawadi" zao wanataka kupewa na Coke, hawa hawajalalamika zaidi ya kutoa shukrani kedekede kama le mutuz

Lakini pia wapo wasanii waliogoma kwenda baada ya kupigaiwa simu na kuambiwa eti kuna zawadi zao za mabango ya makopo ya coke YENYE MAJINA YAO na wanatakiwa waende kwenye hafla ya kukabidhiwa then wapige mapicha na kutupia istagram zao na social media za coke
Hawa ndio wanaolalamika

Tunarudi pale pale celebrity ni watu wenye ushawishi mkubwa popote duniani na hawa ndio hutumiwa na makampuni duniani kote kufanya matangazo
Ronaldo analipwa mamilioni ya usd just kwakuvaa viatu vya nike na anapewa viatu hivyo bure..... Why?

Msanii unapaswa kujitambua kwamba wewe ni brandy inayotakiwa kutemgeneza pesa kwa namna mbalimbali
Msanii yeyote anapaswa kutambua kuwaita wasanii wakubwa sehemu moja kwenye tukio la kuwapatia kitu chochote chenye nembo ya biashara na kuwataka waweke kwenye social media zao ni kutangaza biashara husika...... Sielewi mnashindwa kuelewa nini haswa katika hili

Sharecoke haijaanza tz pekee ipo inazunguka duniani na kila nchi wahusika wanapewa namna ya kuangalia jinsi watakavyofanya kupata hayo majina
Hivi kweli USA unampigia tu simu Lily wyne au 50cent au Maywhether eti njoo lmg grand tumetengeneza bango la kopo la coke lenye jina lako tuje tukukabidhi tupate na picha na utupie kwenye social media zako...... Kweli inawezekana? Bila makubaliano yoyote kabla unabandika tu 50cent?

Narudia tena Wolper hakukuta kopo limeandikwa wolper ndio akalalamika maana anajua wolper wapo wengi tu,
Coke wenyewe ndio wamempigia simu na kumwambia njoo kwenye hafla tukukabithi bango la kopo la coke lenye jina lako
Kwa msanii anayejutambua kwake yeye hii ni biashara sababu jina lake na yeye ni brand ya biashara....period
Kwanini hawakumfuata mwajuma wa mbagala wakauze naye sura mlimani city na mapich ya insta? Why wasanii wakubwa ndio wauze sura kwenye hiyo hafla ya kukabidhiwa?
Unahitaji kujua kwa undani maana ya marketing kulijua hili

Mwisho si sahihi kusema eti wanalialia kwenye social media badala ya kwenda mahkmani, si kilakitu unakwenda mahakamani jamani, hata akina Dr slaa wanadaigi kutoshiwa maisha lakini hawaendi mahakamani
Maisha ya sasa kwa wasanii social media inabeba sehemu kubwa sana na ndio hutolea madukuduku yao tofauti na zamani hadi uitishe media conference

Ni ufinyu wa kudadafua mambo kunakopelekea watu kuaminishwa eti coke "wanawaenzi" wasanii kwa kuwapatia hayo mabango ya makopo yenye majina yao wakati kumbe wenzao wanafanya marketing kubwa sana

Binafsi naweza kusema huu ni mwanzo mzuri wa wasanii kuanza kujitambua kwamba wao kama wao na majina yao ni brand
Kuwatumia wasanii kama hivyo sio vibaya isipokuwa kuwepo na makubaliano kabla hata kama itakuwa ni bila malipo na si kukurupuka na kupigiwa tu simu eti njoo mlimani city kunaHafla ya kukabidhiwa kopo lako LENYE JINA LAKO

Tambua coke wakindika juma basi juma neture hawezi kulalamika wala

Talking loud but saying nothing.

If they feel that aggrieved why haven't they sent Coca-Cola a cease and desist letter?

Why haven't they taken Coca-Cola to court and sue the heck out of them?

This is really much ado about nothing.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
jina la msanii ni brand/trade name, jina lake ni kitega uchumi cha kujiingizia fedha, kutumia jina la msanii kwa namna yoyote kwenye shughuli za kibiashara bila ridhaa au ruksa yake ni sawa na kuiba haki miliki yake juu ya brand name yake, na na ndio maana coca-cola walikuwa wanawapigia simu kwanza wasanii kama wanataka makopo yao yatoke au la!,

nilichogundua wolper nae ni mburula kapewa kopo kakubali angeona sio fair angekataa hio ofa
 
Ingawa kuna watu wanaopinga lakini Coca Cola wanawatumia hawa wasanii bila kujua.Ni vema tukajiuliza kwa nini walianza na majina ya watu maarufu na wanawapiga picha then wanapost kwenye page zao kwenye social network?!Hili ni tangazo tayari.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hapo wamedhulumiwa na wametumika kutangaza bidhaa bila kujua.
Wawalipe tu mbona huko Ulaya na Marekani wanatoa pesa nyingi sana kuwalipa wasanii wa kule.
 
Ni kwamba Cocacola waliwapa ICL kazi ya promotion, ICL wakatenengeza makopo yenye majina ya wati waliowachagua wao kuwa ndio wawe wa kwanza kupokea makopo hayo, wakaanza kupiga simu siku kama nne kabla kwamba wana kopo la Cocacola lenye jina lako na watakutafuta wakuleteee ukikubali wanakuletea na ukikataa hawakuletei

Ingawa kuna watu wanaopinga lakini Coca Cola wanawatumia hawa wasanii bila kujua.Ni vema tukajiuliza kwa nini walianza na majina ya watu maarufu na wanawapiga picha then wanapost kwenye page zao kwenye social network?!Hili ni tangazo tayari.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hapo wamedhulumiwa na wametumika kutangaza bidhaa bila kujua.
Wawalipe tu mbona huko Ulaya na Marekani wanatoa pesa nyingi sana kuwalipa wasanii wa kule.

Msome Le Mutuz hapo juu hususan hapo nilipopakoleza.

Kwa mujibu wake Coca-Cola hawakuhusika moja kwa moja kwenye kuyatumia hayo majina.

Iliyohusika ni kampuni ya ICL.

Sasa kama hivyo ndivyo ilivyokuwa, Coca-Cola iwalipe kwa misingi ipi?
 
I knew it.

Huwezi kunionyesha kwa sababu hakuna nilipojichanganya.

Mbona hiyo iko wazi sana. Rejea sehemu ulizokwepa hoja na kuanzisha mpya. Hali kadhalika sehemu ulizoshindwa hoja ukaamua kwenda kimya-kimya au kutusi wengine.
 
Talking loud but saying nothing.

If they feel that aggrieved why haven't they sent Coca-Cola a cease and desist letter?

Why haven't they taken Coca-Cola to court and sue the heck out of them?

This is really much ado about nothing.

Mkuu kwahiyo unahalalisha haya yote kwakuwa hawajaenda mahakamani?
HAKI HAIPATIKANI MAHAKAMANI TU
 
Back
Top Bottom