William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
we ulilipwa sh ngapi? au na wewe umetumika tu
- Nina mkataba na ICL Wakala wa Cocacola hata kabla hawajatoa makopo, poleni sana
- Le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ulilipwa sh ngapi? au na wewe umetumika tu
- For sure ametumwa kuandika kitu asichokijua amelipokea kopo amelipiga picha na kulitundika Instagram halafu anasema hakutaka, kweli akili ni mali sana kabla hawajamletea wamempigia simu wakamwambia wana kopo lenye jina lake wanagependa kumletea akakubali bila ya kumuwekea bunduki kwa mbali, wakamfuata akawasubiri akalipokea akalipiga picha nail akaweka Instagram leo analia hakutaka, hahahahahahahahaha hawa ndio wasanii wa yule jamaa yenu wa Njiro, hahahahahahahahaha
Le Mutuz
Hivi unajua sheria au kwa sababu una uhuru wa kuandika ??
hivi kuna hati miliki ya jina ??
utakua juha kama jackline wolper
walikuwa wanapigewa picha na kuingiza katika mtandao.kesi inaanzia hapo ndugu.mbona wewe ni mgumu kuelewa? si picha za wote walipigwa picha zipo katika tovuti ya cocola afrika? tazama hapo juu nimekuwekea baadhi.
Mkuu any contract consist of offer and acceptence je kwa wolper hatua hiz zimefikiwa
- Picha wamepigiwa waliposema wenyewe wafuatwe, walioweka picha hizo Instagram ni wao wenyewe hawakulazimishwa na Cocacola sasa kelele za nini jamani?
Le Mutuz
- For sure ametumwa kuandika kitu asichokijua amelipokea kopo amelipiga picha na kulitundika Instagram halafu anasema hakutaka,
kweli akili ni mali sana kabla hawajamletea wamempigia simu wakamwambia wana kopo lenye jina lake wanagependa kumletea akakubali bila ya kumuwekea bunduki kwa mbali, wakamfuata akawasubiri akalipokea [/
akalipiga picha nalo akaweka Instagram leo analia hakutaka
Unaweza kutuwekea hapa picha aliyopiga akiwa na kopo lake?
Bse unless nimekosea, kama vile anadai kuwa wakati wa picha aliamua kukaa kando.
I thought so unless kulikuwa na duress, undue influence, misrepresentation au mazagazaga mengine.
Tuwekee hiyo picha hapa please.
Senior Member Array
Unaweza kutuwekea hapa picha aliyopiga akiwa na kopo lake?
Bse unless nimekosea, kama vile anadai kuwa wakati wa picha aliamua kukaa kando.
I thought so unless kulikuwa na duress, undue influence, misrepresentation au mazagazaga mengine.
Tuwekee hiyo picha hapa please.
May be it was duress and undue influence hapo sawa vingnevyo analalama.
Senior Member Array
Join Date : 19th February 2014
Posts : 123
Rep Power : 373
Likes Received99
Likes Given10
[h=2]Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati[/h]![]()
![]()
- Hizi picha ni nani aliyeziweka Instagram ni Cocacola au yeye mwenyewe?
Le Mutuz
Acha utoto kubwa jinga wewe
Sasa majina kuandikwa kwenye makopo ya soda yaliyo kama zawadi ndo matangazo ya biashara?
Pwa ha ha ha haaaa
Unachekesha kweli wewe.
Watu wamepewa hayo makopo kama token tu na si kwamba ukienda madukani utakutana na chupa za Coca-Cola zenye jina la Le Mutuz na hutaona bango lenye picha yake akiwa kashikilia chupa ya Coke yenye jina lake halafu bado wewe unaona hilo ni tangazo la biashara?
You are pathetically comical.
Mkuu unauelewa finyu sana kuhusu mambo ya marketing and sales
So ni haki yako kabisa kuamini unachoamini
Nyani Ngabuno, Ikiwa majina kuandikwa kwenye makopo ya soda yaliyo kama zawadi SIO matangazo ya biashara, Je, dhumuni la Cola cola kwa zoezi hilo ni nini?
Dhumuni la Coca-Cola kuzindua hiyo kampeni na kutumia majina ya watu mbalimbali lilikuwa ni kutanabaisha umma kwamba watu sasa wanaweza kununua na kunywa hizo soda zilizo kwenye chupa au kopo lililobinafsishwa (persomalized?).
Hiyo ni tofauti kabisa na kununua sehemu, kipande, au muda kwenye redio na runinga na kuwa na matangazo ya biashara ambayo unayalipia ili yatangazwe mara kwa mara.
Kujitangaza sio lazima ulipie. Sio lazima ufuate vyombo vya habari. Unaweza kufanya katika namna ambayo vyombo hivyo vya habari vinakufuata na kukutangazia bure. (Vyombo vya habari vikiwemo vinywa vya watu, n.k)
Sasa kama kujitangaza sio lazima ulipie tatizo liko wapi?