Cocacola ya Ulaya ladha yake ni tofauti na za kwetu? Na iphone zao hazina line?

Cocacola ya Ulaya ladha yake ni tofauti na za kwetu? Na iphone zao hazina line?

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
1. Kwanini soda za pepsi na cocacola kule Majuu Yani Ulaya (sijajua kama ni nchi zote) eti ladha yake ni tofauti na za kwetu hapa bongo

2. Kwanini pia iPhone za hapa Bongo eti pia ni tofauti na za majuu ( kwao eti hazina sehemu ya kuwekea Laini😲)

3. Pia tekno za kwetu ni tofauti na za kwao,

NB: Nipeni majibu mimi ata sijui
 
1. Kweli. Ata bei ivo ivo. Coca Lita 2 unauziwa Tsh 2000 hapa NYC Same volume nanunua $3.80 hafu radha iwe sawa? No.

2. Tatizo hamnunui iPhone mpya, sisi huku tunanunua mpya tunaenda kwenye makampuni ya simu mfano Vodacom halafu wanatupa mkopo tunakua tunalipa kwa mwezi. Wao wamechukua direct kiwandani. Huko mnanunua refab.

3. Tecno, itel na infinix zipo East na West Africa. Asia baadhi ya nchi tu. Huku hamna.
 
Nilidhani umewahi kuona ama kuonja hizo Coca na Pepsi za Majuu, kumbe ni hearsay tu?

Ila hopefully gharama ndiyo hu determined Ubora/Viwango Boss

Sisi tukiambiwa Tununue Coca shilingi 6,500 chupa moja ya Mls 350 tutalalamika Mwaka mzima na kusema bora Tunywe Beer šŸŗ tu šŸ˜„

Mwaka 2012 nilinunua Pepsi ya Chupa pale Uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere shilingi 3000, yaani nililalamika siku 730 yaani miaka 2 šŸ˜…šŸ™Œ
 
VITU VYA EUROPE NA TZ VINATOFAUTIANA KWA KILA KITU.
TOFAUTI NI KUBWA SANA

1. UBORA .
2. GHARAMA.
3.THAMANI..

MZUNGU NI MZUNGU TU.
 
Pepsi na Coca cola za huku zinatengenezewa na maji chumvi, nakumbuka pepsi walikuwa wanachota sana maji mtaani kwetu na magari yao ili kupeleka kiwandani
 
Back
Top Bottom