Nilidhani umewahi kuona ama kuonja hizo Coca na Pepsi za Majuu, kumbe ni hearsay tu?
Ila hopefully gharama ndiyo hu determined Ubora/Viwango Boss
Sisi tukiambiwa Tununue Coca shilingi 6,500 chupa moja ya Mls 350 tutalalamika Mwaka mzima na kusema bora Tunywe Beer 🍺 tu 😄
Mwaka 2012 nilinunua Pepsi ya Chupa pale Uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere shilingi 3000, yaani nililalamika siku 730 yaani miaka 2 😅🙌