Coco Beach pesa ya maegesho inaenda wapi?

Kuna siju Morogoro msamvu nilikutana na mtu ana mashine isiyoonesha namba ya gari na nikamuuliza control number ya kulipa hana.nikaondoka nikamwambie nuyaitafuta niilipa mtandaoni.
Akadai hii haipo huko ,sasa sijui kuna watu wana mashine zao?
 
Kashika kopo la maji, tena kubwa kabisa. Anarusha tu huko. Yuko kwenye boda, anarusha tu kopo barabarani.

Kabisa, watoto wafundishwe. Ni muhimu sana.
Tatizo maeneo mengi hakuna dustbins, unaweza zunguka na kopo saa nzima, kiukweli mimi huwa napata tabu mana kutupa popote huwa siwezi.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Miezi 12 tokea huu uzi, wkend hii nilipata wasaa wa kwenda kufanya mazoezi Coco. Nilichokiona Waafrika tuna laaana, Waafrika tuna tatizo mahala kuanzia watawala mpaka watawaliwa.
COCO BEACH NI CHAFU SANA, COCO BEACH NI HATARI KWA AFYA, COCO BEACH INANUKA, COCO BEACH INATUDHARIRISHA, COCO BEACH INATUAIBISHA KWA WAGENI maaana wengi wao pia hufika fukwe hizo.
Manispaa ya Kinondoni oneni aibu Coco beach sio sehemu salama kiafya.
Kwaherini
 
Watu wametumwa pesa Kiongozi. Usione ghorofa Goba ukadhan watu wanapata pesa halali. Ndo hizo hizo dhulumati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…