Jamaa amenogewa kuvuna asipopanda....inaonyesha unatoza ushuru tumekugusa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa amenogewa kuvuna asipopanda....inaonyesha unatoza ushuru tumekugusa
[emoji28][emoji16]inaonyesha unatoza ushuru tumekugusa
Tatizo maeneo mengi hakuna dustbins, unaweza zunguka na kopo saa nzima, kiukweli mimi huwa napata tabu mana kutupa popote huwa siwezi.Kashika kopo la maji, tena kubwa kabisa. Anarusha tu huko. Yuko kwenye boda, anarusha tu kopo barabarani.
Kabisa, watoto wafundishwe. Ni muhimu sana.
Ukifika Coco beach na gari utakaribishwa na mdau anayekusanya ushuru wa TZS 1,000 Kwa kila gari. Je, hiyo pesa inafanya kazi gani? Maana hata kile choo pale unalipia tena pesa. Uchafu umejaa kila kona.
NB: Halmashauri ya Manispaa waliwahi kupewa maelekezo ya kuendeleza usafi hapo Coco Beach naona wamenogewa asali, wanabunya tu.
View attachment 2467344
View attachment 2467345View attachment 2467539
Miezi 12 tokea huu uzi, wkend hii nilipata wasaa wa kwenda kufanya mazoezi Coco. Nilichokiona Waafrika tuna laaana, Waafrika tuna tatizo mahala kuanzia watawala mpaka watawaliwa.Ukifika Coco beach na gari utakaribishwa na mdau anayekusanya ushuru wa TZS 1,000 Kwa kila gari. Je, hiyo pesa inafanya kazi gani? Maana hata kile choo pale unalipia tena pesa. Uchafu umejaa kila kona.
NB: Halmashauri ya Manispaa waliwahi kupewa maelekezo ya kuendeleza usafi hapo Coco Beach naona wamenogewa asali, wanabunya tu.
View attachment 2467344
View attachment 2467345View attachment 2467539
Watu wametumwa pesa Kiongozi. Usione ghorofa Goba ukadhan watu wanapata pesa halali. Ndo hizo hizo dhulumatiMiezi 12 tokea huu uzi, wkend hii nilipata wasaa wa kwenda kufanya mazoezi Coco. Nilichokiona Waafrika tuna laaana, Waafrika tuna tatizo mahala kuanzia watawala mpaka watawaliwa.
COCO BEACH NI CHAFU SANA, COCO BEACH NI HATARI KWA AFYA, COCO BEACH INANUKA, COCO BEACH INATUDHARIRISHA, COCO BEACH INATUAIBISHA KWA WAGENI maaana wengi wao pia hufika fukwe hizo.
Manispaa ya Kinondoni oneni aibu Coco beach sio sehemu salama kiafya.
Kwaherini
Hii Nchi yetu mahali tulipofikia kila mmoja kweli anakula kwa urefu wa kamba yakeWatu wametumwa pesa Kiongozi. Usione ghorofa Goba ukadhan watu wanapata pesa halali. Ndo hizo hizo dhulumati