Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Watu wanachafuaje beach namna hiyo bila aibu?Na ushuru mnachukua Kwa watu wachafu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanachafuaje beach namna hiyo bila aibu?Na ushuru mnachukua Kwa watu wachafu?
Ni mawakala Class A wa Tarura haoUshuru si wanachukua wachoma mihogo
Watu wanachafuaje beach namna hiyo bila aibu?
Siku hizi, Dar es salaam, mpaka magetini kwenye nyumba za watu, utakutana na watoza ushuru wa maegesho.unashangaa pesa ya maegesho coco beach. Yani hapo kariakoo unajenga gorofa lako na kuwepa parking ya wateja unashangaa kuna mtu anakuja kusimamia ushuru wa maegesho utazani kwake
Kashika kopo la maji, tena kubwa kabisa. Anarusha tu huko. Yuko kwenye boda, anarusha tu kopo barabarani.WaTanzania kwa uchafu hatujambo
Utashangaa mtu mzima kabisa anatupa uchafu barabarani bila wasiwasi
Tujitahidi kufundisha watoto kizazi kijacho angalau wawe wasafi
Daaaa nimepata ingizo jipya la msemo aiseeetanzania ni jela isiokuwa na fensi
Upo sahihi ndugu.Tungeachana na Ujamaa hizi fukwe zingekuwa nzuri.
Tatizo tunautukuza umasikini
Sehemu gani kariakoo kuna nafasi ya kuegesha gari mbele ya jengo ambayo unamiliki ww sio sehemu ya barabara ,mnajenga mpk mnamaliza maeneo halafu parking unategemea reserve ya barabara ukileta tamaa ya kumaliza eneo lako lote kujenga frem weka underground parking.unashangaa pesa ya maegesho coco beach. Yani hapo kariakoo unajenga gorofa lako na kuwepa parking ya wateja unashangaa kuna mtu anakuja kusimamia ushuru wa maegesho utazani kwake
Hakuna eneo la mtu linalotozwa hela ya parking maeneo yenu mmemaliza yote kujenga frem road reserve ndio mnasema yenuHii kitu inashangaza sana, mtu kajenga jengo lake la kibiashara pale mbele ni eneo lake na analenga wateja wenye magari waegeshe magari ili waingie kupata huduma, halafu anatokea mtu wa jiji anaokota parking fee kwenye eneo ambalo siyo mali yake na hajawekeza chochote.
Haya tuseme wanazuia mlundikano wa magari katikati ya jiji, vipi huku mitaani hizi parking fee hadi kwenye maeneo ya strarehe kama kwenye baa wanachukua kwa lengo gani hasa........au ndo pesa zinatafutwa kwa udi na uvumba kulipa madeni.
Sehemu gani kariakoo kuna nafasi ya kuegesha gari mbele ya jengo ambayo unamiliki ww sio sehemu ya barabara ,mnajenga mpk mnamaliza maeneo halafu parking unategemea reserve ya barabara ukileta tamaa ya kumaliza eneo lako lote kujenga frem weka underground parking.
Hiyo road reserve ni mali yako? barabara zimeshajengwa kwa kodi za wananchi lazima watumie na ku-park magari..........nchi zilizoendelea kuna street parking, magari yana park mitaani pembezoni mwa barabara, na unaweza kuliacha gari mwaka mzima na utalikuta lipo palepale, acheni unaa.Hakuna eneo la mtu linalotozwa hela ya parking maeneo yenu mmemaliza yote kujenga frem road reserve ndio mnasema yenu