Maswali.Comrade weka swali likae vyema
Nitachukua kidogo hapa!Maswali.
1. Kwann project zake kama RC huwa haziwi endelevu mfano.kukamata omba omba,mashoga,madawa ya kulevya kwann huwa hazina muendelezo?
2.hii ID ya cocochanel inauhusiano gani na ile ya Lemutuz ?
3.Naomba pia wanajukwaa atufahamishe ana elimu gan na ameisomea wapi?
Ni hayo tu mkuu SEPETU
Kumbe ni mwanamke?Naomba umuulize coco baby ye ni mwanamke wa aina gani? Namaanisha kimuonekano na tabia je ni mpole hivi au vipii achana na hizi mambo za jf alivyo
Ameolewa na kama ameolewa ana watoto hivi au vipiii naendekea nitarudi tena badae sawa sawa
[emoji23][emoji28][emoji23] hahahhahaMkuu, utampata 'RC' muda huu kweli? Leo umeingia 'choo cha kike'
kumbe wa tanga ni wavivu hadi kusoma...hatari hiyoJioni bhana tatzo watoto wa kitanga wavivu sana umesoma heading tu na kuacha kusona main body
Rudia kusoma utaelewa
Leo ndio umeongea atleast point..sio utaratibu wako wa kumhoji mtu masaa matatu wengine unatukashifu tukiuliza maswali inaonekana tunaleta fujo
Kwakweli ndio jina tulilolizoea me na team yangu mpaka tuje kulizoea hilo jipya sio leo tuvumilie tu halaf kukuita muosha nini sijui si unajua sie wake za watu hatuweziRungu limekuwa sufuria
Kwani ni mwanaume si avatar kaweka ya kikeKumbe ni mwanamke?
Wahenga huwa wanadai iyo ni ID ya Mh! RC wa jiji la wanaume wa Dar sasa hapo napata ukakasi kidogoKwani ni mwanaume si avatar kaweka ya kike
Unayakuza hahahahakumbe wa tanga ni wavivu hadi kusoma...hatari hiyo
Mkuu siku zote kwenye kuandaa shamba wengi hawataenda shambani,ila kwenye kuvuna sasa....Nakumbuka huyu bwana mdogo alivyoanzishaga Interviews zake wabongo mlikuwa mnamponda sana kama anatafuta kiki.
Lakini leo ubunifu wake ndiyo unafanya ChitChat iwe moto moto mnataka kujimilikisha kipindi chake: Haiwezekani.
Kiukweli shunie Na wenzako nawakubali sana naomba chombezo za hapa Na pale ziwepo ili kunogesha interview nyie ni watu muhimu sana ktk interviews Na nikili kuwa mmeifikisha hapa!Kwakweli ndio jina tulilolizoea me na team yangu mpaka tuje kulizoea hilo jipya sio leo tuvumilie tu halaf kukuita muosha nini sijui si unajua sie wake za watu hatuwezi
Kweli kabsa hao wadau ni muhimu sana DJKiukweli shunie Na wenzako nawakubali sana naomba chombezo za hapa Na pale ziwepo ili kunogesha interview nyie ni watu muhimu sana ktk interviews Na nikili kuwa mmeifikisha hapa!
Nashukuru kwa kutambua uwepo wetu salute DJNdio Sergio,youngblood,Beira,mwafwi nanyi pia ni true comrades!
ha ha ha haa we jamaa siyo mzima[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Akija muulize Diamond platnumz ana nafasi gani kwenye maisha yake.
Hapana watu wanaongea sana ujue kuhusu sisi ndio mana leo unaona tupo kimya acha tuwaachie tu tuwe wasomaji sisi tunashkuru kwa kuona umuhimu wetuKiukweli shunie Na wenzako nawakubali sana naomba chombezo za hapa Na pale ziwepo ili kunogesha interview nyie ni watu muhimu sana ktk interviews Na nikili kuwa mmeifikisha hapa!