Cocochanel interview prep!

Cocochanel interview prep!

Comrade weka swali likae vyema
Maswali.
1. Kwann project zake kama RC huwa haziwi endelevu mfano.kukamata omba omba,mashoga,madawa ya kulevya kwann huwa hazina muendelezo?

2.hii ID ya cocochanel inauhusiano gani na ile ya Lemutuz ?

3.Naomba pia wanajukwaa atufahamishe ana elimu gan na ameisomea wapi?

Ni hayo tu mkuu SEPETU
 
Nitachukua kidogo hapa!
 
Naomba umuulize coco baby ye ni mwanamke wa aina gani? Namaanisha kimuonekano na tabia je ni mpole hivi au vipii achana na hizi mambo za jf alivyo

Ameolewa na kama ameolewa ana watoto hivi au vipiii naendekea nitarudi tena badae sawa sawa
Kumbe ni mwanamke?
 
Leo ndio umeongea atleast point..sio utaratibu wako wa kumhoji mtu masaa matatu wengine unatukashifu tukiuliza maswali inaonekana tunaleta fujo

Nakumbuka huyu bwana mdogo alivyoanzishaga Interviews zake wabongo mlikuwa mnamponda sana kama anatafuta kiki.
Lakini leo ubunifu wake ndiyo unafanya ChitChat iwe moto moto mnataka kujimilikisha kipindi chake: Haiwezekani.
 
Mapemaaa swali langu naliacha maana hiyo saa ntakua naingia lindon mm ni mlinzi

Swali: Hv coco channel ana mahusiano gani na mkuu wa mkoa wa daslam?? Na lemutuz??
 
Nakumbuka huyu bwana mdogo alivyoanzishaga Interviews zake wabongo mlikuwa mnamponda sana kama anatafuta kiki.
Lakini leo ubunifu wake ndiyo unafanya ChitChat iwe moto moto mnataka kujimilikisha kipindi chake: Haiwezekani.
Mkuu siku zote kwenye kuandaa shamba wengi hawataenda shambani,ila kwenye kuvuna sasa....
 
Kwakweli ndio jina tulilolizoea me na team yangu mpaka tuje kulizoea hilo jipya sio leo tuvumilie tu halaf kukuita muosha nini sijui si unajua sie wake za watu hatuwezi
Kiukweli shunie Na wenzako nawakubali sana naomba chombezo za hapa Na pale ziwepo ili kunogesha interview nyie ni watu muhimu sana ktk interviews Na nikili kuwa mmeifikisha hapa!
 
Kiukweli shunie Na wenzako nawakubali sana naomba chombezo za hapa Na pale ziwepo ili kunogesha interview nyie ni watu muhimu sana ktk interviews Na nikili kuwa mmeifikisha hapa!
Hapana watu wanaongea sana ujue kuhusu sisi ndio mana leo unaona tupo kimya acha tuwaachie tu tuwe wasomaji sisi tunashkuru kwa kuona umuhimu wetu
 
Back
Top Bottom