Cocochanel interview prep!

Huyo kibaraka wa Bashite ana nini hasa!
 
Thank u kwa kuniwahia siti my dear,
my sweet coco namuaminia atajibu maswali fresh bila kujali watakaomkashfu. She is brave

Uwiii kwenye soga tumeumizwa kijiwe bila soga hakinogi
Wakimuudhi utasikia acha kuongea upupu[emoji23][emoji23]ila namkubali kwakweli
Watu wanakasirishwa na maongezi nje ya interview acha tuwe wapole tu
 
Nakumbuka huyu bwana mdogo alivyoanzishaga Interviews zake wabongo mlikuwa mnamponda sana kama anatafuta kiki.
Lakini leo ubunifu wake ndiyo unafanya ChitChat iwe moto moto mnataka kujimilikisha kipindi chake: Haiwezekani.
Sijaona mantiki ya ulichokiandika hapa...Hamna aliyesema anajimilikisha kipindi wala nini..mimi nimehoji juu ya style ya uulizaji maswali na nikatoa pendekezo and nothing else.. Asante
 
Wakimuudhi utasikia acha kuongea upupu[emoji23][emoji23]ila namkubali kwakweli
Watu wanakasirishwa na maongezi nje ya interview acha tuwe wapole tu
Kumbe chit chat zinanyima watu raha wanashindwa kufuatilia interview[emoji30][emoji30]
Thank u kwa kuniwahia siti my dear,
my sweet coco namuaminia atajibu maswali fresh bila kujali watakaomkashfu. She is brave

Uwiii kwenye soga tumeumizwa kijiwe bila soga hakinogi
Muosha naniliu mwenyewe katumiss ndio hivyo acha tusizidi kukera watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…