Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Watu hawataki chit chat ujue ndio mana leo kupo hivi tupo tunafatilia kimyakimyaKweli kabsa hao wadau ni muhimu sana DJ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hawataki chit chat ujue ndio mana leo kupo hivi tupo tunafatilia kimyakimyaKweli kabsa hao wadau ni muhimu sana DJ
ha ha hahaaa naweka nyingine matata ila naogops SMG..Nashukuru kukuona mkuu ila sijaona ile sign bunge.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ha ha ha haa we jamaa siyo mzima[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu siku zote kwenye kuandaa shamba wengi hawataenda shambani,ila kwenye kuvuna sasa....
Watu hawataki chit chat ujue ndio mana leo kupo hivi tupo tunafatilia kimyakimya
Kumbe chit chat zinanyima watu raha wanashindwa kufuatilia interview[emoji30][emoji30]Watu hawataki chit chat ujue ndio mana leo kupo hivi tupo tunafatilia kimyakimya
Wakimuudhi utasikia acha kuongea upupu[emoji23][emoji23]ila namkubali kwakweliThank u kwa kuniwahia siti my dear,
my sweet coco namuaminia atajibu maswali fresh bila kujali watakaomkashfu. She is brave
Uwiii kwenye soga tumeumizwa kijiwe bila soga hakinogi
Sijaona mantiki ya ulichokiandika hapa...Hamna aliyesema anajimilikisha kipindi wala nini..mimi nimehoji juu ya style ya uulizaji maswali na nikatoa pendekezo and nothing else.. AsanteNakumbuka huyu bwana mdogo alivyoanzishaga Interviews zake wabongo mlikuwa mnamponda sana kama anatafuta kiki.
Lakini leo ubunifu wake ndiyo unafanya ChitChat iwe moto moto mnataka kujimilikisha kipindi chake: Haiwezekani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulivyoitikia kwa heshima zote[emoji120] [emoji120]
Hapana mkuusiyo kwa sabab muhusika ni mpiga tarumbeta jf wa wasiojulikana ???
Halaf watu waje watutolee povu sisi watu wazima ujue hizi avatar fake tuKwenye Uzi Wa interview chombezo muhimu ila zisimpoteza hosted!
[emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulivyoitikia kwa heshima zote
Wakimuudhi utasikia acha kuongea upupu[emoji23][emoji23]ila namkubali kwakweli
Watu wanakasirishwa na maongezi nje ya interview acha tuwe wapole tu
Kumbe chit chat zinanyima watu raha wanashindwa kufuatilia interview[emoji30][emoji30]
Muosha naniliu mwenyewe katumiss ndio hivyo acha tusizidi kukera watuThank u kwa kuniwahia siti my dear,
my sweet coco namuaminia atajibu maswali fresh bila kujali watakaomkashfu. She is brave
Uwiii kwenye soga tumeumizwa kijiwe bila soga hakinogi