Mi nahisi itakuwa ndio mkuuHapana mkuu
Tumeshakuchoka na weweHabarini wana jamvi
Kutokana Na ushauri Wa wadau ambao kwa kiasi kikubwa unajenga,
Tumeona ni vema tukawa Na utaratibu mzuri Wa uendeshaji Wa interview (mkabala) hapa jf.
Hii kwa kiasi Fulani itapunguza uholela Na malalamiko yasiyo ya lazima.
Tungependa kila mmoja wetu ajisikie inclusive ktk mikabala yetu
Na awe Na haki Na kushiriki bila bhugha!
Sasa Basi utaratibu ni huu,
Tutakuwa tunawajulisha nani yupo katika interview siku husika masaa matano kabla,ambayo tutatumia kukusanya maswali Na kuyachambua Na kumtumia interviewed maswali kumi ya msingi ambayo atayaandalia majibu mujarabu.
Kisha nusu saa kabla ya muda rasmi tutabandika Uzi Wa interview, ili kutoa taarifa Na watu kupata nafasi nzuri ya ushiriki.
Mgeni ataulizwa Na host maswali kumi au host atavyoona inafaa kisha
Atairuhusu hadhira (audience) kuuliza maswali ya randomly!
Kwa leo tunataraji cocochanel kuwa
Nasi jioni aghalabu kuanzia saa kumi Na nusu jioni.
Kwa hiyo tunakaribisha maswali ya maana ambayo unadhani linafaa kuwa swali la msingi Na kunufaisha
Wengi.
Asanteni.
Regards,
DJ sepetu.
Duh!Sijaona mantiki ya ulichokiandika hapa...Hamna aliyesema anajimilikisha kipindi wala nini..mimi nimehoji juu ya style ya uulizaji maswali na nikatoa pendekezo and nothing else.. Asante
Ohoooo mkuu vipi?? una bifu nae nini??Tumeshakuchoka na wewe
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
wewe unaona ni sahihi??Tutalipa ubaya kwa ubaya!
Nakumbuka huyu bwana mdogo alivyoanzishaga Interviews zake wabongo mlikuwa mnamponda sana kama anatafuta kiki.
Lakini leo ubunifu wake ndiyo unafanya ChitChat iwe moto moto mnataka kujimilikisha kipindi chake: Haiwezekani.
Nina maswali buku kwa mdada sijui host ataniruhusu
Pamoja mkuu point sana umerongaPENDEKEZO; UKISHAMUULIZA HAYO MASWALI KUMI YANATOSHA...baada ya hapo wewe utakuwa unarekebisha hili na lile mfano swali la marudio unamwambia limeshajibiwa na liko kwenye post namba fulani
Tuachie sisi wengine tuendelee, vile vile Mwambie Cocochanel awe anajibu maswali papo kwa papo ndio itafaa zaidi kuliko tuweke maswali yetu hapo yaje kujibiwa baaadae sana kitu ambacho kinakatisha tamaa ambapo muda mwingine unakuta halijajibiwa
YapSawa na pia lugha unayotumia iwe nzuri kwa maana interview zilizopita niliona unahitilafiana na watu kadhaa kwa maneno makali
Maswali yapo tunasubiri papo kwa papo ili kupunguza uongo.Leteni maswali au mmeyaficha ili muulize wenyewe?
Sio mbaya pia
KULA LIKE HUNTERMaswali yapo tunasubiri papo kwa papo ili kupunguza uongo.
Watu jf ukiwapa nafasi ya dk 5 tu tayari kakupoteza.
Ndio ndio mkuu fresh sanaPamoja mkuu point sana umeronga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umekuwa mtekaji wa interviews..[emoji3][emoji3]