Cocochanel interview prep!

Cocochanel interview prep!

Habarini wana jamvi
Kutokana Na ushauri Wa wadau ambao kwa kiasi kikubwa unajenga,
Tumeona ni vema tukawa Na utaratibu mzuri Wa uendeshaji Wa interview (mkabala) hapa jf.

Hii kwa kiasi Fulani itapunguza uholela Na malalamiko yasiyo ya lazima.

Tungependa kila mmoja wetu ajisikie inclusive ktk mikabala yetu
Na awe Na haki Na kushiriki bila bhugha!

Sasa Basi utaratibu ni huu,
Tutakuwa tunawajulisha nani yupo katika interview siku husika masaa matano kabla,ambayo tutatumia kukusanya maswali Na kuyachambua Na kumtumia interviewed maswali kumi ya msingi ambayo atayaandalia majibu mujarabu.

Kisha nusu saa kabla ya muda rasmi tutabandika Uzi Wa interview, ili kutoa taarifa Na watu kupata nafasi nzuri ya ushiriki.

Mgeni ataulizwa Na host maswali kumi au host atavyoona inafaa kisha
Atairuhusu hadhira (audience) kuuliza maswali ya randomly!

Kwa leo tunataraji cocochanel kuwa
Nasi jioni aghalabu kuanzia saa kumi Na nusu jioni.

Kwa hiyo tunakaribisha maswali ya maana ambayo unadhani linafaa kuwa swali la msingi Na kunufaisha
Wengi.

Asanteni.
Regards,
DJ sepetu.
Naomba wafuatao wahojiwe pia
Lizaboni MOTOCHINI
 
Duuh ina maana hamisa kwisha wamehamia kwa mrembo mwingine kupambanisha na zari
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hiki ndio kilichobaki huku kwetu hakuna namna
3b9306800e30551e8c5657ed586dc12e.jpg
 
Back
Top Bottom