Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale sio maji anayokunywa ni maziwaMmhh!hata usijidanganye
Au unataka kuwa kama mke wa fella?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale sio maji anayokunywa ni maziwaMmhh!hata usijidanganye
Au unataka kuwa kama mke wa fella?
Naachaje sasa?**** mmoja nilikuwa namuona wa maana lakini jana nimemshusha vyeoEwaaaaaaaa kumbe carba umekariri kama mimi
Jamaan sababu ndugu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Dada. Ndio nini tukawaza sawa
Naniiii tenaYupo uzi mwingine kama huu
Wakija humu tuonyeshe tuwasunte kwa umbea
Kivipi sasa uliambulia ban jamaan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio zakeAtakwambia ni matokea ya sabuni ya murua
Yule aliyekusababishia ban anamihemko yake...ulimuona jana kwa ff?Ila kama nshastaafu duh kuna ubuyu wa insta niliuleta jf nikaambulia ban ,carba shahidi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Naachaje sasa?**** mmoja nilikuwa namuona wa maana lakini jana nimemshusha vyeo
Ni naniiiiiYule aliyekusababishia ban anamihemko yake...ulimuona jana kwa ff?
Utakuta wanapita kimya kimya na kuzimia nyuma ya keyboard[emoji23]Yupo uzi mwingine kama huu
Wakija humu tuonyeshe tuwasunte kwa umbea
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Jamaan sababu ndugu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Huyu ndio Numbisa sasaaa.Si kuna mtu aliubugia bila kuangalia kama una pilipili au la yeye kafakamia tu matokeo yake akawashwa, kapaliwa na kuanza poromosha kashfa kwangu
Mmhh!hata usijidanganye
Au unataka kuwa kama mke wa fella?
Naomba wafuatao wahojiwe piaHabarini wana jamvi
Kutokana Na ushauri Wa wadau ambao kwa kiasi kikubwa unajenga,
Tumeona ni vema tukawa Na utaratibu mzuri Wa uendeshaji Wa interview (mkabala) hapa jf.
Hii kwa kiasi Fulani itapunguza uholela Na malalamiko yasiyo ya lazima.
Tungependa kila mmoja wetu ajisikie inclusive ktk mikabala yetu
Na awe Na haki Na kushiriki bila bhugha!
Sasa Basi utaratibu ni huu,
Tutakuwa tunawajulisha nani yupo katika interview siku husika masaa matano kabla,ambayo tutatumia kukusanya maswali Na kuyachambua Na kumtumia interviewed maswali kumi ya msingi ambayo atayaandalia majibu mujarabu.
Kisha nusu saa kabla ya muda rasmi tutabandika Uzi Wa interview, ili kutoa taarifa Na watu kupata nafasi nzuri ya ushiriki.
Mgeni ataulizwa Na host maswali kumi au host atavyoona inafaa kisha
Atairuhusu hadhira (audience) kuuliza maswali ya randomly!
Kwa leo tunataraji cocochanel kuwa
Nasi jioni aghalabu kuanzia saa kumi Na nusu jioni.
Kwa hiyo tunakaribisha maswali ya maana ambayo unadhani linafaa kuwa swali la msingi Na kunufaisha
Wengi.
Asanteni.
Regards,
DJ sepetu.
Aisee kwahiyo mlipewa ban woteSi kuna mtu aliubugia bila kuangalia kama una pilipili au la yeye kafakamia tu matokeo yake akawashwa, kapaliwa na kuanza poromosha kashfa kwangu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hiki ndio kilichobaki huku kwetu hakuna namna![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuta wanapita kimya kimya na kuzimia nyuma ya keyboard[emoji23]
Huyu ndio Numbisa sasaaa.
Uko dunia ipiii huyo alikuwa na chibu znzDuuh ina maana hamisa kwisha wamehamia kwa mrembo mwingine kupambanisha na zari
Majinyenye jiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale sio maji anayokunywa ni maziwa