Me naomba majibu mafupi sana. Maswali ni haya:
1-Umewahi kuugua ugonjwa wowote wa akili ktk maisha yako!??
2-Umewahi kufanya jambo gani la kutumia akili liwe la kijamii au kifamilia(litaje jambo lenyewe) na lilifanikiwa!? Km halikufanikiwa kwa nn!??
3-Ukiacha matumizi ya I'd fake,unaweza kuniambia jinsia yako kwa uhakika,wewe ni ME/KE!??
4-Elimu uliyotaja uliyonayo umesema ni ya chuo na umesema ni tecnolojia,ni tecnolojia gani hiyo,ukinijibu ntarudi kukuuliza swali la fani uliyosoma ili kuthibitisha elimu yako. Kwa unavyoonyesha hujakanyaga hata ordinary level. Samahani lkn. Ntarudi...