mij
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 1,993
- 2,120
Yani kwa jinsi mwenyewe alivyo na mbwembwe unaweza kumuogoa kumbe kichwani bashite kabisa.
Ana uelewa mdogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kwa jinsi mwenyewe alivyo na mbwembwe unaweza kumuogoa kumbe kichwani bashite kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata haya anaweza asielewe ni nini kinazungumzwa juu ya hii interview.
Sio kwamba hajui kiswahili,ishu ni kwamba hajui kupammbanua mambo
Majibu ya interview sijaelewa kabisa.
hapa nipo najiuliza mimi ni kichwa maji au majibu yaliyotolewa ndio tatizo au aliyetoa majibu ndio kichwa maji?
Nauliza wadau wote maana bado sijapata jibu hapa.
DJ nilikuwa bussy kufuatilia hii interview ila honestly kabsa mtu wako Leo alikuwa akiulizwa swali anajibu essay yenye content zero
Jitahidi siku nyingne usihoji mtu kama huyu maana amezingu kinoma.
akili yako inatakiwa isuguliwe na dodoki ndio utaelewa ni maana ya maana
Huu utabiri umeuanza lini??Dj
Mbona majibu hayafanani na maswali??? Au we unaonaje
Ahsante kwa majibu yako ya usahili, nina swali moja tu.Nyie wote nawafahamu kutokea humu
Mnawivuuuuu wa kufwa mtu kwa watu tho mnajitahidi kuuficha na vijistori upupwu...
Ha ha haaaaaaaaaaa
Mnalalamika uongo kama vile mmelazimishwa kusoma niliyoandika
Eeeeeeeh eeeeeeeeh.. Cocochanel ni ligi ingine.. jipigeni vibao vya usoni mlie
Ha ha haaa
Wengi wanaongozwa na emotions na chuki binafsi. Chuki zao za kwenye jukwaa la siasa wanazileta huku chit chat.....Huyu ndo anauliza maswali wengine wote wanaongozwa na emotions tu!
Maswali yangu hujayaona nirudie kukuuliza!!? Hebu nisaidie majibu basi bibie,maswali yapo comment number#193.Wivu.com
Jipige vibao vya usoni ulie
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mtu mwenyewe kayakimbia maswali yangu,muite basi aje ajibu...!!!una akili sana wewe
Sio kweli mkuu.fwatilia uone maswali anayoulizwa na majibu anayotowa ndio utajua watu wanamaanisha nn.Wengi wanaongozwa na emotions na chuki binafsi. Chuki zao za kwenye jukwaa la siasa wanazileta huku chit chat.
Huyu mtu ameaibisha sana usimlete tena. Anasema ameenda vyuo? Hata ku construct sentensi hawezi? Anaandika phrase badala ya sentensi halafu mipasho kama ya kopa?? Heri yangu ngumbaru naweza kujieleza.Good evening ladies and gentlemen!
Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana.
Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel .
Wengi mmekuwa na hamu naye
Na leo ndio siku muafaka kabisa,
Kukidhi kiu yenu!
Cocochanel atakuwa rasmi hapa
Saa kumi na mbili unusu.
Karibuni sana!
cc Transcend
Asprin
Lee empire
Young blood
Niyombire
Billy
Shunie
Numbisa
Sakayo
Emmnitya
Linamo
Carba
Stable woman
Ukhuty
Sergio
Beira
Welcome all!
Hapa ndyo umejibu swali?Wivu.com
Jipige vibao vya usoni ulie
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Unaweza kukisoma ilichokiandika kwa usahihi?Eeeeeeeeeeeh
Wivu.com
Mjue humu kuna watu level zisio zenu.. ha ha haaaaaa
Na hauna haja ya kuelewa kwasababu havikuhusu wala haujavipitia
Ha ha ha haaaaaaaaa
Nilijua mtatafuta mapovu a kumwaga na hapo nimebana mengi.. ningemeagika mngelia kama wanyama
Ikiwa unaandika pumba za ivi nikupinge kwa faida gan?Ha ha ha haaaaaaa
Wewe humu unafikiri sikujui kupinga kila naloandika JF kisa siasa
Maneno yenu hayanibadili ni nabaki nacheka jinsi ninavyowaburuza humu ndani na hamnifikiii
eeeh
My fan
Mtu mwenyewe kayakimbia maswali yangu,muite basi aje ajibu...!!!
Akikujibu maswali haya niite mkuuMe naomba majibu mafupi sana. Maswali ni haya:
1-Umewahi kuugua ugonjwa wowote wa akili ktk maisha yako!??
2-Umewahi kufanya jambo gani la kutumia akili liwe la kijamii au kifamilia(litaje jambo lenyewe) na lilifanikiwa!? Km halikufanikiwa kwa nn!??
3-Ukiacha matumizi ya I'd fake,unaweza kuniambia jinsia yako kwa uhakika,wewe ni ME/KE!??
4-Elimu uliyotaja uliyonayo umesema ni ya chuo na umesema ni tecnolojia,ni tecnolojia gani hiyo,ukinijibu ntarudi kukuuliza swali la fani uliyosoma ili kuthibitisha elimu yako. Kwa unavyoonyesha hujakanyaga hata ordinary level. Samahani lkn. Ntarudi...