cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Shukrani sana Cocochanel kwa kunijibu maswali yangu nashukuru sana... Nimeridhika na ulivyojibu, Pamoja sana, endelea kujibu maswali ya wengine..
Uwe na wakti mwema, Asante.
Mzee huyuhuyu wa jumuiya ya wazazi,kwa huo mwili wke ni ngumu watakua wanampakazia le sauti ya umemezHuyu Mzee toka niskie anatoa mtandao pendwa daah
Hahahaa naona unanigeuzia kibao lol...mie charty yule yule sijabadil kitu...Naona hii ID yako ingine pia..
Duh Ha..!!!
akili yako inatakiwa isuguliwe na dodoki ndio utaelewa ni maana ya maanaKwanini umeandika hivyo!? Maana!!!
Hahahaa naona unanigeuzia kibao lol...mie charty yule yule sijabadil kitu...
mkuu uko sahihi DJ Sepetu amezingua sana kutuletea huyu fa fa fa faa kaswali kadogo jibu paragraph nzimaIntavyuu hovyo kabisa hii
akili yako inatakiwa isuguliwe na dodoki ndio utaelewa ni maana ya maana
Usijali kuwa na amani tu...mengine nitajifunza kupitia kwa maswali ya members wengine utakavyokuwa unawajibu..kwa hiyo ondoa shakaKaribu nashukuru ujaongeza kunipima tena eeeeeh
Wewe mmmh!!!
tulia wewe albadir ikuingie vizuri nasubiri nikuone ukikata mauno hadharani nakedOooh mbona unawashwa washwa na yangu!?
Real??labda hatujawahi kugongana humu jukwaani..ila nipo sana tu!! Toka 2013..[emoji3]Sijawahi kukunoti humu kabla.
ahahahhahaha ahahahaha mkuu unge komenti kesho maana dah hadi nimeiscreenshot komenti yakoMvumilie tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu Coco na Mzuri mie wana matatizo sana.
Mabandiko yao huwa hayaeleweki.
Lisemwalo lipo"!anyway naona amekataa ID yake ya zamani[emoji5]Huyu ni Mzuri Mie
Nilimchunguza muda mrefu nikaja kumgundua baadaye.
Akaja kunifuata PM akidai yeye sio mzuri mie sasa ubaya zaidi majibu aliyoyatoa yalidhihirisha kuwa yeye kweli ni Mzuri Mie.
Ingekuwa Mods hawakatazi kuweka mazungumzo ya PM jukwaani ningeweka kama ushahidi.
ahahaaa ukienda nae room lazima uwe na tango pembeniHuyu Mzee toka niskie anatoa mtandao pendwa daah
HewaMi nakuuliza wewe baby...umeelewa chochote katika majibu yake?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nimeshajitahidi kweeeli kumwelewa lakinii wapi, nikajua mie ndo Bashite