Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Natamani nikuelewe ila nimechemka...
 
Mkuu, humu kuna watu wanawachukia kabisa(with passion) watu wengine kisa tu itikadi zao kisiasa zipo tofauti.
Labda elimu yao inawafundisha lazima wote tufikiri sawa, yaani ni dhambi,jinai kuwa tofauti.
 
Nakuona upo bize kutetea tumbo safi sana
Nitetee tumbo mtandaoni? Im open minded sio kama nyinyi. Mnategemea kila mtu afikiri kama nyinyi bila kujua background za watu. Hii ni chit chat chuki zenu za siasani ziache kulekule.

Sasa nazidi kumuelewa aliesema stress zenu za maisha mnakuja kuzitoa kwa members fulani, kwa uncle magu na RC!
 
huyu dada yetu ni mwenyeji wa mkoa/kanda ipi?



kuna post alijibu amebase kwenye teknolojia hebu tufafanulie hapa teknolojia gani?



je ikatokea akapata nafasi yoyote ya kutoa kauli ambayo itabadilisha maisha ya watu je kauli gani ataitoa?
 
mmh
 
Kama unaijua ni chit chat hapa umekuja kulia lia ili iweje?
 
Kama unaijua ni chit chat hapa umekuja kulia lia ili iweje?
Unarukaruka kama pop corn, mara natetea tumbo, sasa hivi unaropoka nalialia! Nimewambia chuki zenu za kwenye siasa ziacheni huko hapa ni chitchat ! Btw I did not quote u why bother?
 
Ha ha ha haaaa
Najifurahia kwa kuwajua.. maneno mengi mwanzoni ulifikiri sifahamu zako eeeeeeh

Sasa umejionyesha na yako ya siasa
Na nilijua ni hayo... Lumumba nenda wewe kuomba kazi naona unatamani sana
Coco umeolewa ww?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…