donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
SamewiseNatamani nikuelewe ila nimechemka...
Huu mwandiko sio ninaoufahamu mimi.
Ok, ngoja nitege sikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SamewiseNatamani nikuelewe ila nimechemka...
Huu mwandiko sio ninaoufahamu mimi.
Ok, ngoja nitege sikio
Samewise
cocochanel hongera kwa kuendelea kujibu maswali japo watu bado mashambulizi wanakurushia.
Ingekuwa mwingine angekimbia uzi.
Unajua mimi nakupendanga ila kichwa yako siielewi
good morning mtoto mzuri cocoo !DJ Sepetu
Ila vipeee basi tupe za mwaka mpya.. unajua uliburudisha jukwaa kwa mengi.
Hiyo avatar eeeeh.. natumaini sio manyapu mnaopenda kujuana nao ndio walikukimbiza humu.
good morning mtoto mzuri cocoo !
avatar haidhuru ni kama joti kuvaa wig tu!
madanga tunakulaga tu!
burudan ndo habar yetu punde.....
Mambo...Manyapu ni nini?
Now I gatchuBabes
Chini ya mgongonyuma ya wapi
Me najisemea tu.. ndio ugonjwa wangu ukitaka blood pressure ipande na temperaturefunua ujionee!
Ha ha ja ja ja basi hii avatar mkuu inabidi utoe ila usikose kuniunga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ninao kibao wenye mizigo vp nikuunge ulambe!
ucjali vumilia