cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Coco umeolewa ww?
mie nimeingia saa 5 usk nikajitahid mnooo ndo nikamkuta joanah analalamika bas palepale nikawa relaxed nikajua kumbe mie mzima!
Uko busy unakazana endelea hivyo hivyo.. ha ha haaaaaaaaaaa.. level imewaacha mataaa.. eeeeeeh
What the hellHa ha ha haaaaaaa
Wewe humu unafikiri sikujui kupinga kila naloandika JF kisa siasa
Maneno yenu hayanibadili ni nabaki nacheka jinsi ninavyowaburuza humu ndani na hamnifikiii
eeeh
My fan
Huyo labda amehitimu chooAsee itanichukua karne nzima kuamini huyu mtu amehitimu chuo, utafikiri mtoto anajifunza kuandika yaani Hata dogo wa darasa la nne st kayumba hawezi type hizi kande mseto.
Hajielewi huyoWhat the hell
Asee itanichukua karne nzima kuamini huyu mtu amehitimu chuo, utafikiri mtoto anajifunza kuandika yaani Hata dogo wa darasa la nne st kayumba hawezi type hizi kande mseto.
Naangalia majibu haya naona kama kuna tangentiality hivi.Hajielewi huyo
Ona anavyolia lia huyu dogoUnarukaruka kama pop corn, mara natetea tumbo, sasa hivi unaropoka nalialia! Nimewambia chuki zenu za kwenye siasa ziacheni huko hapa ni chitchat ! Btw I did not quote u why bother?
Naangalia majibu haya naona kama kuna tangentiality hivi.
Chocochanel uhusiano wako na bashite ni upi?
Na siku ya tundu lissu kupigwa risasi bashite alikua wapi
daktari wako wa mirembe anasema urudi ukamalizie dawa zako
halafu wale masheikh wa tanga wamesoma albadiri sasa ndio kuweweseka kwenye kwenye hii intavyuu?
Simfahamu uliyemtaja, hivyo siwezi kujibu maswali yako kwa sasa.
Unajua mimi nakupendanga ila kichwa yako siielewiHa ha haaaaa
Wild!!! Eeeeh
kibumbu ni papa lililotuna tuna.mkuu ID yako si mchezo huku kijijini kwetu ni papu.chi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu ID yako si mchezo huku kijijini kwetu ni papu.chi