Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Tatu kati ya nilizonazo ni
- Nina nyota ya kupendwa na watu na wengine pia uonionea wivu na ninabahati ya kuwatambua haraka

- Mcheshi sana huwezi kuboreka ukiwa nami labda niamue kuuchuna. Nikiwa mahala lazima niache watu kunikumbuka kwa mazuri na kwa lolote lililojiri.

- Najiamini kwenye mengi na pia nikitaka iwe/kiwe namshukuru Mungu naonaga inakuwa.
Poa!
7.katika kufanya mradi ama biashara nn hukuongoza kupata watu sahihi Wa kujenga teamwork?
Vingezo vipi huangalia!
 
Kwanza nj lazima kuweza kuongea na mtu kujua yupoje.. na hapo ndio ngoma inachezwa.
Awe na haya pia ujuzi wa mawasiliano, kusuruhisha matatizo kati ya wengine na lolote, awe msikilizaji, ajue kufanya kazi na wengine na kujishughulisha pamoja nao, awe anaaminika, na heshima n.k mengine machale yangu uingia pia na kumsoma mtu lugha ya mwili.

Haya pia ni muhimu kwa mtu ambaye yupo chini ya uongozi kuwa nayo.. na kuwa na ujuzi usaidia wa mengi ambayo wengi wanadharau.

Kama mtu amefaulu akaja kwangu kwa kazi, na hajawahi kufanya hata kazi ya kusaidia yoyote.. na aje mtu amefaulu chini yake yeye na labda alikuwa anauza vitumbua au maandazi mimi huyu ataweza kunivutia zaidi kumuajiri.. ni mengi naishia hapo.
 
Jibu zuri!
8.upi ni mchango wako ktk kudumisha amani eneo ulilopo!
Na je makundi maalumu mathalani vijana,walemavu,na wanawake unawasaidia vipi?
 
Napenda kujishikirisha kwenye issue za jamii ninayoishi na pia kwenye malezi, usalama na michezo ya watoto.

Kwa sababu ya wakati mwingine kukosa muda kutokana na kuwa huku na kule kisafari.. nilijikuta nikiwa mtu wa kupenda kuchangia wengi muda wowote nachagua kituo natoa msaada hii ni kwenye mengi mfano kusaidia kusomesha watoto wasio na uwezo, yatima.. na wanaonizungusha najitahidi kuwaweka vizuri niwezavyo. Nashiriki events pia za mjini kivyovyote kusaidia.

Ulemavu umenikumbusha baba mmoja zamani sana tulikuwa tukisafiri kwenda mji mkubwa.. alikuwa anakaa sehemu moja kupokea misaada.. kila tuliponunua vitamutamu.. nilipenda kuomba chenji ili nimpatie.. furaha yangu ni kwamba hata akiniona kesho ananikumbuka kuniita na atanisalimu nami huwa nafurahi.. inanipa furaha sana kuwa wazazi wangu walitukuza vyema kwenye mengi.

DJ Sepetu utanisamehe nakuchelewesha.. unajua tena kuwa mzazi inanihusu jamani..
 
Sawa!
9.cocochanel je una maadui!?unalichukuliaje hilo!
Samahani,ukitoweka kwa namna yeyote duniani unahisi maadui watakuzungumziaje?
 
Mimi uwa sifikirii kama nina maadui, bali nawachukulia kama watu wanaopenda kunichakachua kivyovyote na hii inanipa motisha zaidi kubetter myself. Nawaona kama fans wangu

Siku zote naamini maadui siku zote ni watu walio nyuma yako kwenye mambo tofauti kama kukuonea wivu kwenye lolote maishani mwako ambacho hawana kama wewe.

Nikitoweka watanimisi kwasababu hawatakuwa na mtu wa kuwapa challenge wao kujiongeza. Na pia watayakumbuka mazuri yangu na nilivyowakimbiza na kuyaongelea.
 
Back
Top Bottom