Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Zanzibar ni nchi !
Nimemsikia mbunge mmoja leo aitwae Abasi Tarimba eti akisema iangaliwe ni jinsi gani michezo iwe ya muungano. Nikajiuliza, wazee si wajinga kuacha michezo ambayo ni sehemu ya tamaduni kuwa si ya muungano. Huyu kaangalia mpira wa miguu tu.
 
Zanzibar inajulikana tu hapa hapa EA ndio maana sote tunatumia 255, Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Waache kuupiga mwingi,ama sivyo kuna ule msemo wa kuchamba kwingi mwishowe utashika......
 
Zanzibar inajulikana tu hapa hapa EA ndio maana sote tunatumia 255, Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Waache kuupiga mwingi,ama sivyo kuna ule msemo wa kuchamba kwingi mwishowe utashika......
hayo yako
 
Napenda sana niione ramani ya Tanganyika pekee na pia ramani ya Zanzibar pekee, then ramani ya Tanzania.
Hii itasaidia kuzielewa nchi zilizoungana kama zikitengana zitaonekanaje kiramani kwa jicho la kimataifa au hata kabla ya kuungana tarehe za nyuma ya April 26, 1964 ramani zao zilikuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…