Watauana kama kuku. Hakuna mijitu mibaguzi kama ya visiwani. Utasikia yule mpemba, yule muunguja. Mara utasikia ule msikiti wa ACT na kuna misikiti ya CCM.Mkipewa Znz mtashindwa jiendesha
Watanganyika ulevi na usingizi vinatumaliza!Mkuu wazanzibar mifumo yao ya kiuongoz hasa ya chin n ngumu mtu wa bara kupata nafas
Maajabu nafas za juu zote mara nyingi viongoz wao n toka bara mawazir na marais....
Bora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
Kufuga majini na kufi.la wake zenu ndio ustaarabu?Zanzibar wako juu kwa kila kitu kuliko Tanganyika infact wakati bara mfanya unafiki huku washastaarabika siku nyingi
Hata pesa ipo, gwala la sh 200/=🤣🤣🤣Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT WAZALENDO
Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar
nitajaribu kuweka video kama itakubali ili kila mmoja ajionee
Na Tanganyika yenyewe haipo! Kwahio we don't exist hahahahahaTaarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT WAZALENDO
Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar
nitajaribu kuweka video kama itakubali ili kila mmoja ajionee
Sidhani, hata hayati Aboud Jumbe Mwinyi?Ukiacha Rais wa kwanza wa Zanzibar, wengine wote wamesimikwa na Tanganyika.
Labda Kwa magofu na kutoana malindaZanzibar wako juu kwa kila kitu kuliko Tanganyika infact wakati bara mfanya unafiki huku washastaarabika siku nyingi
wacha wauane wakishakuwa nje ya muungano na wakaona madhara wakiomba kujiunga tena tunawaambia wanajiunga kama mkoaWatauana kama kuku. Hakuna mijitu mibaguzi kama ya visiwani. Utasikia yule mpemba, yule muunguja. Mara utasikia ule msikiti wa ACT na kuna misikiti ya CCM.
MIBAGUZI SANA HII MIJITU.
Ha ha ha hiyo ndio dawa yao. Watakuwa sehemu ya mkoa wa Pwani kama Mafia vile.wacha wauane wakishakuwa nje ya muungano na wakaona madhara wakiomba kujiunga tena tunawaambia wanajiunga kama mkoa
Sidhani, hata hayati Aboud Jumbe Mwinyi?
MpangoUkivunjwa huo muungano raisi atakuwa nani?
Si itakuwa ni yale yale tuMpango