implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Nimejaribu kudownload hiyo deepseek lakini imeshindikana,naandika password yangu lkn inakataliwa!!,code alikadhalika,mkuu je nifanyeje?Ni kama kuchat whatsapp, wala haina ugumu wowote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejaribu kudownload hiyo deepseek lakini imeshindikana,naandika password yangu lkn inakataliwa!!,code alikadhalika,mkuu je nifanyeje?Ni kama kuchat whatsapp, wala haina ugumu wowote.
DeepSeek ni modified western models. Sio sawa kusema ChatGPT wamekopi.CHATGPT nao wame copy from DEEPSEEK, leo wame update from thinking wao wameita reasoning. Picha hizo chini:
View attachment 3221710View attachment 3221711
Hizo data zote unazozitaka unazipata - unlimited.Kwani kulipia ni sh ngapi na je nini kinatokea baada yakulipia?
Wewe ni muongoHizo data zote unazozitaka unazipata - unlimited.
Sahihi 👍🏾Wewe ni muongo
Wewe unaleta siasa, watu wapo kwenye coding.Deepseek ina mawazo ya kikomunisti na haiko huru. Inaogopahata kusema Mao alikuwa nani huko China. Hata askari katili kama Faustine Mafwele deepseek inajifanya haimjue wakati ChatGPT inasema kabisa ni askari mwenye tuhuma za kufanya mauaji na ukatili.
Hiyo chatgp na deep seek ni app au ni website?Ni kama kuchat whatsapp, wala haina ugumu wowote.
Namba ya nje ya nini tena?Nawezaje kupata namba ya nje ya simu ya USA, Canada au German? Nasikia kuna app unapata pata bure au kununua.mwenye ufahamu wa hili anisaidie