Coding, programming, software development na software engineering nini maana yake na utofauti

Oooh sawasawa nimeelewa sasa
Niongezee tuu kama unatemgeneza simple project mfn Data analysis unaweza tumia PYTHON pekee.

Ila kama project ni nzito kias mara nyingi devs wanatumia Python alongside C++ au Java. Or lgs zingine.

Same as for webapp unawez deal na front-end pekee kwa Html without CSS na mambo yakawa fresh mfn kutengeneza online Forms au Phishing page unawez deal na HTML5 only. So haya mambo yanategemea nini unataka.
 
Ila kwenye web si inataka html,css,na js sio
 
Ila kwenye web si inataka html,css,na js sio
Web bhana inapande mbili Front end na back end. Sasa tunarud kule kule unataka nini.?

Html ni kama nyama alaf CSS ni kama nguo kwenye mwil wa binadamu.. So kwa project ndg tuu ikatoka kali unaweza deal na PHP na CSS tu. Maana php codes zinauhusiano na Html strings. So ukapiga 2in1
 
Lakini mtu kuwa full stack si lazima lugha 5 mkuu mbonaa kuna watu wamebase kwenye lugha 2 ila wanakanyaga fresh tu wapo so deep bro 🤔🤔🤔. Na mkwanja na madeal ya maana
Sasa hai wapo specific zaidi kwenye vitu hivyo, mfani chukulia full stack web ina maana mtu ufahamu frontend html, css, javascript na framework zake, backend unaamua sasa php au python au java, au c++ kulingana na mahitaji tunakuja database mysql au oracle au cloud kama aws, google cloud, kuna system devops hapo full stack dev itabidid ajur linux scripting. Vitu ni vingi.
 
Na ma graphic design humo humo 😂😂😂😂
 
Nimesom tuh nahis kupaa enewei napenda haya mambo toka damun yan na nipo tayar kuwa chiz kwa ajil ya kujua haya hapa nlpo sina idea yoyote but nina simu na lptop vyenye uwezo pia .mni guide nianze wapi wakuu halafu kwann msfungue uzi wa haya mambo from begging au kaa mpo mtu anitg wazee
 
Usijal hay mambo sio mazito kivile hasa kama unapenda.
Zipo platforms nyingi unawez ingia huko ukachota skills.

Fany kwa vitendo na sio usome notes
 
Kuna watu ni wajuvi tayari wa haya mambo unaweza wacheki wakakupatia mwongozo.
 
Kama hauna ubunifu wa kudesign program na kuziimplement algorithmically kwa kutumia programming language utaishia tu kuzisoma hizo programming language na hutafanya kitu cha maana huwezi kuniambia umesoma ComSci halafu huwezi hata kutengeneza program ya kulist prime number zilizo kati ya 2 na 50
 
Yas, jambo la msingi ni kua na uwezo wa kuchambua tatizo na kua na suggestion za kutatua tatizo, Programming ni hatua ya mwisho ya ku-solve tatizo…
Tunakwama hapo tunasoma tools kabla ya kufahamu unakwenda ku-solve nini.
 
Yas, jambo la msingi ni kua na uwezo wa kuchambua tatizo na kua na suggestion za kutatua tatizo, Programming ni hatua ya mwisho ya ku-solve tatizo…
Tunakwama hapo tunasoma tools kabla ya kufahamu unakwenda ku-solve nini.
Nadhani ikishajulikana tatizo linakuwa solved namna gani kwa kutumia hata statement za kingereza ndio ije sasa kuzibadilisha hizo statement za kingereza kwenda kwenye programming language husika au naseme uongo ndugu yangu kwasababu programming language statement lazima zifuate algorithm uliyoiformulate
 
Hivi kwanini kwa tanzania ukisema coding au programming mtu anawaza IT tu?

Kuna tatizo moja naliona kwa tanzania, ni kuhusu embedded system programming.

Unaweza kukuta mtu ni programmer kabisa ila hawezi kuandika program akaweka kwenye microprocessor ifanye kazi fulani,hii naiona ni tatizo kubwa.

Programmers wengi ni IT tu,nje ya hapo hajui chochote.

Nadhani tupanue ulingo zaidi,ni ajabu kukuta programmer haijui hata arduino ambayo ni basic kabisa.

Nimewahi kuonana na mtu mmoja anacheza na kuandika program za arduino balaa,anasema amejifundisha mwenyewe,jamaa anawazidi mbali sana hata waalimu wa programming huko vyuoni.
 
Pseudocode hizo zina-act kama ramani kwa unakotaka kufika then inakuja real programming, finally fun part fixing bugs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…