Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,815
Oooh sawasawa nimeelewa sasaHakuna kitu kama hicho. Languages zinategemeana na zingine haziingiliani kirahis mpk ufanye Compiling zimatch vzr.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh sawasawa nimeelewa sasaHakuna kitu kama hicho. Languages zinategemeana na zingine haziingiliani kirahis mpk ufanye Compiling zimatch vzr.
Niongezee tuu kama unatemgeneza simple project mfn Data analysis unaweza tumia PYTHON pekee.Oooh sawasawa nimeelewa sasa
Ila kwenye web si inataka html,css,na js sioNiongezee tuu kama unatemgeneza simple project mfn Data analysis unaweza tumia PYTHON pekee.
Ila kama project ni nzito kias mara nyingi devs wanatumia Python alongside C++ au Java. Or lgs zingine.
Same as for webapp unawez deal na front-end pekee kwa Html without CSS na mambo yakawa fresh mfn kutengeneza online Forms au Phishing page unawez deal na HTML5 only. So haya mambo yanategemea nini unataka.
Web bhana inapande mbili Front end na back end. Sasa tunarud kule kule unataka nini.?Ila kwenye web si inataka html,css,na js sio
Sasa hai wapo specific zaidi kwenye vitu hivyo, mfani chukulia full stack web ina maana mtu ufahamu frontend html, css, javascript na framework zake, backend unaamua sasa php au python au java, au c++ kulingana na mahitaji tunakuja database mysql au oracle au cloud kama aws, google cloud, kuna system devops hapo full stack dev itabidid ajur linux scripting. Vitu ni vingi.Lakini mtu kuwa full stack si lazima lugha 5 mkuu mbonaa kuna watu wamebase kwenye lugha 2 ila wanakanyaga fresh tu wapo so deep bro 🤔🤔🤔. Na mkwanja na madeal ya maana
Kwa frontend yes!Ila kwenye web si inataka html,css,na js sio
Coding, programming, developer hua ni mgawanyo wa majukumu hasa kukiwa na development ya software kubwa lazima kuwe na huo mgawanyo wa majukumu.Unaweza kua mtu wa coding bila programming or vice versa kulingana na unachotaka kufanya. Au lazima ujue vyote?
Kwa backend ni .....Kwa frontend yes!
Na ma graphic design humo humo 😂😂😂😂Sasa hai wapo specific zaidi kwenye vitu hivyo, mfani chukulia full stack web ina maana mtu ufahamu frontend html, css, javascript na framework zake, backend unaamua sasa php au python au java, au c++ kulingana na mahitaji tunakuja database mysql au oracle au cloud kama aws, google cloud, kuna system devops hapo full stack dev itabidid ajur linux scripting. Vitu ni vingi.
Graphics?, labda UI/UX designNa ma graphic design humo humo 😂😂😂😂
Nimesom tuh nahis kupaa enewei napenda haya mambo toka damun yan na nipo tayar kuwa chiz kwa ajil ya kujua haya hapa nlpo sina idea yoyote but nina simu na lptop vyenye uwezo pia .mni guide nianze wapi wakuu halafu kwann msfungue uzi wa haya mambo from begging au kaa mpo mtu anitg wazeeMie ningependa kuongezea kitu kidg
Katika ishu ya programming hasa kwa wale software engineers unatakiw ujue unatak ubase wapi
Mfn Engineer wa AI (Artificial Intelligence) hawez kuw saw na Engineer wa (WebApp).
So unatakiw ujue unataka nini.
Pili Mtoa mada naona katumia neno Software Engineer as a Full Stack developer.
Mtu kuwa full stack si mchezo inahitajika Kujitoa hasa na ujue Lugha si chini ya 5 (programming languages)
Ushauri wangu:
Kwa anayependa haya Mambo, download codes au fanya (cloning)/reverse engineering, download tutorials fanya PRACTICALLY kwa kuanzisha project yako. Napendekeza mti aanzie na Vi-HTML na CSS akipanda na Backend za PHP Na strings za JavaScript.. Lazima atapata msingi mzr sana. Before kurukia Python na Ma C++
Usijal hay mambo sio mazito kivile hasa kama unapenda.Nimesom tuh nahis kupaa enewei napenda haya mambo toka damun yan na nipo tayar kuwa chiz kwa ajil ya kujua haya hapa nlpo sina idea yoyote but nina simu na lptop vyenye uwezo pia .mni guide nianze wapi wakuu halafu kwann msfungue uzi wa haya mambo from begging au kaa mpo mtu anitg wazee
Shukran ,naomb muongozo wa hzo platform humuUsijal hay mambo sio mazito kivile hasa kama unapenda.
Zipo platforms nyingi unawez ingia huko ukachota skills.
Fany kwa vitendo na sio usome notes
Shukran ,naomb muongozo wa hzo platform humu
Kuna watu ni wajuvi tayari wa haya mambo unaweza wacheki wakakupatia mwongozo.Nimesom tuh nahis kupaa enewei napenda haya mambo toka damun yan na nipo tayar kuwa chiz kwa ajil ya kujua haya hapa nlpo sina idea yoyote but nina simu na lptop vyenye uwezo pia .mni guide nianze wapi wakuu halafu kwann msfungue uzi wa haya mambo from begging au kaa mpo mtu anitg wazee
Yas, jambo la msingi ni kua na uwezo wa kuchambua tatizo na kua na suggestion za kutatua tatizo, Programming ni hatua ya mwisho ya ku-solve tatizo…Kama hauna ubunifu wa kudesign program na kuziimplement algorithmically kwa kutumia programming language utaishia tu kuzisoma hizo programming language na hutafanya kitu cha maana huwezi kuniambia umesoma ComSci halafu huwezi hata kutengeneza program ya kulist prime number zilizo kati ya 2 na 50
Nadhani ikishajulikana tatizo linakuwa solved namna gani kwa kutumia hata statement za kingereza ndio ije sasa kuzibadilisha hizo statement za kingereza kwenda kwenye programming language husika au naseme uongo ndugu yangu kwasababu programming language statement lazima zifuate algorithm uliyoiformulateYas, jambo la msingi ni kua na uwezo wa kuchambua tatizo na kua na suggestion za kutatua tatizo, Programming ni hatua ya mwisho ya ku-solve tatizo…
Tunakwama hapo tunasoma tools kabla ya kufahamu unakwenda ku-solve nini.
Pseudocode hizo zina-act kama ramani kwa unakotaka kufika then inakuja real programming, finally fun part fixing bugsNadhani ikishajulikana tatizo linakuwa solved namna gani kwa kutumia hata statement za kingereza ndio ije sasa kuzibadilisha hizo statement za kingereza kwenda kwenye programming language husika au naseme uongo ndugu yangu kwasababu programming language statement lazima zifuate algorithm uliyoiformulate