Coding, programming, software development na software engineering nini maana yake na utofauti

Safari yetu ni ndefu sana
 
Siku hizi kila mtu anajiita software engineer, bila ufahamu vigezo vipi unapaswa kuwa navyo, unakuta hawezi andika hata kurasa moja ya SDD document, yeye kazi kupandisha framework kama Yii/django n.k. basi.
Ukimuuliza nini maana ya SOLID anahisi kama labda unaongea lugha nyingine.
 
Huenda wana changanya kufahamu engineering ni kitu gani haswa
 
Ivi unaweza kujifunza online na ukawa guru na inachukua mda gani coz mm najaribu mara nyingi ila sifiki mbali mfano
Nishawai download course kama zote udemy,youtube nikainstall Android studio,VS, na mambo yote ila Naishia kuviangalia tu
Tatizo ulikua na vibe sio nia
 
Mbona mm sioni watu wanaozililia hizi field hapa Bongo. Najua wordpress ila haijaniingizia hata Mia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…