Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Mhhh! Woiyeyai; Ero! Amejaribu kucalculate kwa huku umasaini ndani-ndani huku kumbe bei ya mesa moja huko mujini ni sawa na ng'ombe(ile kongoro sana) ine(4) kama mnada imekuwa mbaya ukauza kwa laki tano-tano.Wakuu,
Wale watu Classic karibuni.
Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer.
Mbezi beach Africana
Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
View attachment 2967137
View attachment 2967138