Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Nimekua nikijaribu kutafuta details ndogo ndogo kujaribu kuja na hitimisho langu kuwa kweli Mungu yupo.
Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu ni hili la Coincidence.
Kutokana na kukosa maana sahihi ya neno coincidence nitatumia neno lingine linalofanana kwa maana na hili, ili kuweza kuwapa kuelewa kusudio la bandiko hili.
Neno coincidence linalandana kwa maana na neno, accident, luck , fate.
Accident = Ajali, luck = bahati , fate = majaliwa.
Matokeo ya hayo niliyoyataja hapo juu ni kutokana na nguvu za ziada zilizo nje ya uwezo wa mwanadamu.
Mfano; AJALI;
Umeamka asubuhi unachukua gari yako kufika barabarani unagonga mtu anakufa!
Kama ungekuua na uwezo wa kugundua kama siku hiyo ungegonga mtu akafa, ungeweza kuchukua maamuzi sahihi ili ajali hiyo isitikee, lakini kwakua jambo hilo lipo nje ya uwezo wako huwezi kulizuia au kuliahirisha.
Bahati:
Imetokea ajali wakafa abiria wengine lakini kwa "bahati" wewe pekee ndie uliyepona. mazingira ya ajali yanaonesha kwamba ilistahili abiria wote wasiwe hai lakini kwa ajabu la wengi wewe pekee umepona. Tunaita hiyo ni "bahati"
Majaliwa;
Unapangilia kuwa daktari lakini , jitihada zako zote hazipelekei wewe kuwa daktari na badala yake unaishia kua mwanasheria. hapa uanasheria unaonekana kua ndio yalikua majaliwa yako, na udaktari ulikua unalazimisha tu.
Tukiangalia tafsiri ya neno majaliwa au fate katika lugha ya kingereza mtu ataona kwamba ili majaliwa yawepo basi kuna kuwa na nguvu za ziada zinazopelekea hayo kuwepo, tuangalie;
FATE:
(i) The supposed force, principle, or power that predetermines events:
(ii) The inevitable events predestined by this force
(iii) A final result or consequence; an outcome.
(iv) An unfavorable outcome in life.
Uchanganuzi huo unaonesha kwamba neno MAJALIWA au fate, ni zao la nguvu zinazotabiri matukio.
Nguvu hizo ni zipi?? Nguvu hizo zinatoka wapi?? nguvu hizo zinazuilika??
Mfano: je unaweza tambua siku yako ya kufa?? je unajua nani anayechukua roho yako?? je unaweza zuia kifo?? Hilo ni jambo gumu kidogo, tujaribu mfano mwepesi kidogo.
Je umeshiriki kwa asilimia ngapi katika kutengeneza matukio katika maisha yako, au kuyazuia au hata kuweza kuyabadilisha??
Jibu ni hakuna.
Kwa hiyo kama kwa kiasi kikubwa hukuweza kuzuia mengi ya matukio katika maisha yako au kuyabadili, hapo tunapata jibu kwamba lazima kutakua na nguvu ya ziada iliyopelekea jambo hilo kutokea.
Sayansi haibishi kwamba hakuna nguvu bila kuwa na chanzo hizo, hakuna ubishi kwamba nguvu zinzzopelekea kutokea kwa hayo mambo zina chanzo chake.
Kuna weza tokea ubishi wa hicho chanzo cha hizo nguvu, lakini kwa imani yangu naamini kwamba chanzo cha nguvu hizo ni MUNGU.
Kufupisha maelezo, jambo lililopelekea mimi kuandika mada hii ndefu, ni hili dogo tu.
" kuna jirani yangu ninaishi nae mtaa mmoja, tunakuja nyumbani nyakati tofauti, tunalala nyakati tofauti, na tunaamka nyakati tofauti, lakini kila asubuhi lazima tukutane barabarani muda ule ule"
Hii ina maanisha nini??
Kama tunatofautiana muda wa kurudi nyumbani, muda wa kulala, muda wa kuamka, inakuwaje lazima kila siku muda ule ule tukutane barabarani??
Is this fate?? accident?? Luck?? au tunapanga tukutane muda huo???
I rest my case with a conclusion kwamba , Mungu yupo na yeye ndie hupanga maisha yetu. Our life is planned hata kabla hatujazaliwa.