COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

stroke

You still have not proved god exists.

Saying that god exists is no proof that god exists.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naamini Mungu yupo,ila si kwa hoja dhaifu kama hizo za eti fate!!the planned event is out of fate,is God planned that coinsidence? Then its no longer coincidence, but a planned event, eti kukutana na mtu munayeamka naye mtaa mmoja,

kwa wakati mmoja,munaelekea sehemu moja,na munapita njia moja wewe ndiyo ume specify kama proof ya Gods existence?kama ni hivyo basi Mungu ningeshamuona kwa macho,if the criterion was as that cheap.
 
Mimi naamini Mungu yupo,ila si kwa hoja dhaifu kama hizo za eti fate!!the planned event is out of fate,is God planned that coinsidence? Then its no longer coincidence,but a planned event,

Eti kukutana na mtu munayeamka naye mtaa mmoja,kwa wakati mmoja,munaelekea sehemu moja,na munapita njia moja wewe ndiyo ume specify kama proof ya Gods existence?kama ni hivyo basi Mungu ningeshamuona kwa macho,if the criterion was as that cheap.

hapa tatizo lako sio kua GOD does not exist but tatizo lako lipo kwenye mfano, kama hupingi kuwa Mungu yupo basi hakuna haja ya kuchagua namna ya kuonesha kuwa Mungu yupo.

Kama the best standard ef excellence can prove the existence as well as the cheapest then why are we arguing if it all points to the same direction, you may as well come with your derived conclusion that God does exist if you may wish.
 
Can you prove that anything that does not exist does not exist?

You have alleged so , the burden of proving is on your shoulders!!,

evidence of absence is absolutely possible, evidence of absence can be regarded as any kind that suggest something is missing or that it does not exist!! for example " A baker fails to put finished pies on her windowsill, so if there is no pie on the windowsill, then no pie exits!!
 
You have alleged so , the burden of proving is on your shoulders!!,

evidence of absence is absolutely possible, evidence of absence can be regarded as any kind that suggest something is missing or that it does not exist!! for example " A baker fails to put finished pies on her windowsill, so if there is no pie on the windowsill, then no pie exits!!

1. You have not proved that god exists.

2. You have not proved that there is a qay to prove that thatvwhich does not exist, does not exist.

3. I am not entirely sure you understand my argument. Or even that you have the capacity and requisite preparation to understand.

4. You don't even understand the difference between evidence and proof.
 
1. You have not proved that god exists.

2. You have not proved that there is a qay to prove that thatvwhich does not exist, does not exist.

3. I am not entirely sure you understand my argument. Or even that you have the capacity and requisite preparation to understand.

4. You don't even understand the difference between evidence and proof.

1. can you prove without evidence??

2. If i have failed to prove that God does not exist as you assume, why don't you come up with evidence to support your claim that God does not exist??

3. I am now convinced that, your belief of God's non existence has very much to do with your ability of understanding his existence.
 
1. can you prove without evidence??

That you can or cannot prove without evidence is debatable, certainly one point of debate would be what is your definition of evidence. A number of questions arise, one being, can you have evidence in abstract and complex mathematical proofs?

But even if you cannot prove without evidence, that does not equate evidence with proof just as much as the fact that you cannot be in Dar es salaam without being in Tanzania does not equate Dar es salaam to Tanzania.

A simple class in set theory would do much to benefit your clouded assertion.

2. If i have failed to prove that God does not exist as you assume, why don't you come up with evidence to support your claim that God does not exist??

Even more confused jumbles.

a) I have not claimed anywhere that you have failed to prove that god does not exist. I challenge you to prove that anything that does not exist, does not exist.

b)You still do not understand my argument (complete with a challenge you haven't tackled) that that which does not exist cannot be proved that it does not exist, because it does not exist and therefore cannot be proved in any way.

c) I was right to think that you are a dingbat and cannot understand my arguments. Your questions show that.

3. I am now convinced that, your belief of God's non existence has very much to do with your ability of understanding his existence.

If asking for proof that god exists is a belief, then a baldhead is a style of hairdo.

You don't even understand the difference between evidence and proof, yet you scream that I am the one without understanding?

Can you prove god exists?
 
prove he does not exist

Prove that anything that does not exist does not exist so that we can see that this is even possible.

Do you understand the logical foundations of proofs?
 
shalet

The height of absurdity.
 
Last edited by a moderator:
Eiyer

Kaka umeelezea vizur sana hapa....nimeona like peke yake Haitosh, Kiranga ...your thinking ver critical but uridie kusoma hii post ya eiyer kwa umakin inamajibu hata yamaswal yako mengine unayoyafikir.
 
Last edited by a moderator:
Sheria ni limitation.

Inakuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote awe characterized kama limitation?
Ndio maana tunasema yeye ni Mwanzo na Mwisho! Pia, tambua kuwa huo upendo na ujuzi wote, usingekuwepo ila tu kwa sheria(ukomo), bila sheria hakuna kilichofanyika!
Anaita sasa!
 
Ndio maana tunasema yeye ni Mwanzo na Mwisho! Pia, tambua kuwa huo upendo na ujuzi wote, usingekuwepo ila tu kwa sheria(ukomo), bila sheria hakuna kilichofanyika!
Anaita sasa!

Mungu ana ukomo?
 
Ninachooamini ni kwamba miongoni mwa alama za uwepo wa mungu ni akili, sasa nikiono watu hapo juu mkichallengiana inamaanisha akili, tayari one of the signs..

Pia wanadamu tumepewa ukomo wa uelewa, so hakunaga kujua yoote. There is not but one God!

Allah..

Utaki kakojoe ulale..
 
stroke

kwa upande wangu yoote hayo HAYAJATHIBITISHA WAZI UWEPO WA MUNGU labda kdg hilo la ajali kama wasimuliavyo iliwahi tokea ajali watu wote wakafa akapona mtoto mchanga akielewa mtoni (kama ni tukio la kweli)

Kwangu mm nathibitisha uwepo wake MUNGU kama ifuatavyo;

1. mara moja moja sana may be mara 1 au hata mara 2 kwa mwaka.. hutokea kulala na kuota tukio tofauti kabisa, na mara nyingi ya kushtua/ajabu na asb yake naweza kukumbuka kdg tu na kusahau tena,, sio muda murefu HUTOKEA TUKIO HUSIKA hapo sasa ntalikumbuka ndoto yote yaweza isiwe exactly 100% kufanana lakini by 90 % lazima...

2. waweza kufanya maamuzi yasio na logic kabisa,, hun sababu ya kufanya hicho kitu na tena hata ukiuuliza watu unaowaamni/wataalam kwa ushauri watakuzuia tu, LAKINI HURIDHIKI moyo wako unakutuma kufanya tu hata kama pana hasara ya wazi wazi....

mwisho unalifanya na baada ya muda tu unakutana na matokeo yaajabu NEEMA TUPU USIOWEZA SIMULIA ILIKUWAJE MWANZO HADI MWISHO na pia hakuna anaweza amini ni hatari wanaweza kukuita mchawi au hata mwizi vyovyote vile kwa imani zao lakini HAKIKA MUNGU NI WAAJABU.

3. Unaingia mkataba aidha wa kibiashara kwa tahadhali zote na ushauri wa watu kadhaa, na wa gharama kubwa, bahati mbaya baada siku chache tu unagundua kuwa utapata hasara kubwa sn mfano shs 20 mln (hili limetokea feb hii) Inakuumiza sana kupata hasara kwa kutoelewa ya kesho. kwa sisi tunaojali kauri hata kama hujamlipa huwezi KUMRUSHA NI ZURUMA,,

Linalo baki ni wewe kulia na mungu wako na maumivu usiku hulali, cha AJABU jamani MUNGU ni mwema yule yule anayekudai anghaili na kuvunja yeye mkataba akitegemea mashali zaidi kuliko yako uliokuwa unamlipa(wakati huo na yeye hana uhakika) Kwang mm nauona huo ni UWEPO WA MUNGU..

4. Mwisho ni watu wengi sana hupata ISHARA mbalimbali kuwajulisha matukio kama KILIO cha ndugu wa karibu kabla HAJAPATA TAARIFA RASMI, Au MAFANIKIO MAKUBWA lkn akipata ishara fulani tu haichukui muda yaweza chukua hata wiki hadi kupata taarifa rasmi ya tukio husika....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom