Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Barry Dauda Jr
Akili za kushindwa kuniwezesha na kung'amua uwepo wa Mungu? Sikia mimi sitafuti Sifa wala Kitu Kingine bali ki sayansi jambo ambalo mtu unalotaka kuwafahamisha walimwengu ni lazima liwe na Ushahidi...!
na sio ule wa Hearsay nimeambiwa watu wameona watu wametokewa na blah blah nyingi ndio maana Dini sio leo au jana tu pengine hadi kesho uwepo wa Mungu utaendelea kuwa moja ya Changamoto kuu kuhusu uwepo wake...
Maana hata Kwa Waislam no one aliyemuona Allah... kwa Wayahudi vile vile japo yasemekana Enock kwa wakristo na wayahudi na kwa waislam wanamuita Idris yasemekana Mungu alikuwa anashuka Duniani na Kutembea nae hapa duniani
japo sijaelewa kisa haswa kuwa alikuwa akisikia sauti yake huku akitembea tembea au Mungu akishuka kabisa wakiwasiliana kama Adam alivyokuwa na Muumba wake...
wewe kama ni Muislam unaaminishwa kuwa Allah ni mungu? si ndio na huku Allah akisema Hakuna Mungu ila Allah pekee yaani Maandishi ya Allah yakisema na kusisitiza kuwa Allah si Mungu na Mungu Hayupo... wewe akili gani unayotumia kwa kusema Mungu Yupo? au tusiwaamini waislam kwa maneno ya huyo Allah! nijibu please na kama ukishindwa Omba usaidizi.. hata kwa Sheikh yeyote umuaminiye...
Katika Bibia maandiko ya Nabii Musa yameandika kuwa Mwanzo kulikuwa na neno na huyo neno ndie Mungu na sehemu zingine Mungu anajiita Alpha na Omega yaani yeye ni Mwanzo na Yeye ni Mwisho...
sasa katika dunia hii last time tokea aongee ni miaka mingi vitabu vimeandika ndio maana kila mjanja mwenye uwezo wa ku brainwash watu huja kivyake na wengine huamini na hajawahi tokea Mmojawapo ambaye akaaminiwa na Dunia nzima...
imani zinasema Yesu ndie anayetarajiwa kurejea Tena.. wakrito na Waislam huamini sawa sawa ila Wayahudi wanaamini tofauti kuwa Yesu ajaye ni Mpya kabisa na sio yule wa Mama Mariam Mume wa Yusuph.... Masiyah
Ukienda kuchambua Dini karibu zote utakuta watu wapo wrong kuliko maelezo... na mwisho unaweza ona ni upuuzi na utakuta maisha yako yamesimama...
Waingereza,wengi na Wamarekani wengi zaidi ni wamoja washagundua siku nyingi sana na wengi hawaamini kuwa Mungu yupo wanasema Enjoy Life tu there's probably no God

Last edited by a moderator: