COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

hahhaa, kwa hiyo kukutana wewe na jirani yako kukutana barabarani kunathibitishaje uwapo wa mungu? hilo bichwa lako linashindwa hata kutafakari na kutafiti ni kwa nini mnatoka muda mmoja kuelekea kwenye mihangaiko yenu? halafu nilivyokuwa naandika hii reply nimejamba, lazima mungu atakuwepo.:lol:

Mie nimetoka kupuu...afu najishtukia,sijui Mungu aliniona LOL(Mungu nisamehe)
 
God doesn't begin. The Universe began,

If you are too lame to get the crystal clear logic, that's your fault - not mine.

Exactly! Mungu yupo hata kabla ya Uumbwaji wa ulimwengu.
Anaita sasa!
 
Usipoteze hoja kwa maswali aina hii.

Hivi kweli huwa unasoma ninachoandika?

Nimesema hapa zaidi ya mara nyingi kuwa, MUNGU MWENYEWE NI SHERIA, NA UKOMO WA MUNGU NI MUNGU MWENYEWE, utaniulizaje ukomo wa Mungu eti katika uwepo popote! Nimeandika kuwa Mungu anajihitaji yeye mwenyewe, haya maswali yako yanatoka wapi? Mbona unauliza nisichosema mimi?

Ninarudia tena, hizo 4 omnis ni viumbe kama mimi na wewe au mbwa! Nje ya Uumbaji/Ulimwengu huwezi kuhoji juu ya hizo omnis! But I can see God even before the creation, NATURE!
Anaita sasa!

Hujanijibu swali.

Kwa nini mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote, mwenye upendo wote na uwepo kote ahitaji sheria au kuwa sheria?

Inakuwaje mungu huyo awe ukomo? Na nje ya ukomo huu kuna nini?

Kama mungu anajihitaji yeye mwenyewe, hilo linasema nini kuhusu uwezo wake wa kuweza yote? Anaweza kutojihitaji mwenyewe? Kama hawezi, je, anaweza yote kweli? Si umeshaonyesha kwamba anajihitaji mwenyewe?

Kwa nini siwezi kuhoji juu ya hizo omnis? Siwezi kuhoji kweli au unasema hivyo tu kwa sababu huna majibu?

Kama siwezi kuhoji, maswali haya nimekuulizaje?

Mbona unasema siwezi kuhoji wakati tayari nimeshahoji?

Unafahamu unakielewa unachoandika kweli wewe?
 
Wengine wanasema Mungu wao Anaongea Kiarabu tu... hajui lugha zingine...
 
Exactly! Mungu yupo hata kabla ya Uumbwaji wa ulimwengu.
Anaita sasa!

Correct, that is perfect logic. In fact self-existence without beginning is rationally NECESSARY. Something must be prime. Something beginning from nothing is irrational. Non theists and God Haters comprehend not this perfect logic.
 
Huyu nilishawahi kumwambia kuwa, anachokataa ni Ukuu wa Mungu ila rio Uwepo wa Mungu. Anakubali uwepo wa Chanzo cha Ulimwengu, ila hicho chanzo mimi nikikiita Mungu anang'aka, na hoja ohoooh mbona mmesema yeye ni 4 omnis. Huyu anapaswa kukiri kwanza uwepo wa Mungu, tumfundishe Ukuu wake!

Hoja zake ni sawa na anayedai kuwa, Mungu yupo ila hana Upendo wala Ujuzi wote. Sifa kuu ya kwanza ya Mungu he is the Creator, awe ameumba vizuri au vibaya, anabaki kuwa Creator!
Anaita sasa!
Anakataa bila ya ushihidi, is waste of time to thinkers. The Creator has no beginning. No Creator is required.
The Universe began to exist. A Creator is required.
 
Hapo hapo wanakwambia hakuna asichojua.

Fujo tupu.

Your "non theistic logic" says that everything requires nihilo, in contrast, the creator has no beginning, inter-alia, logic demands that anything that BEGINS to exist requires a cause to explain it's existence. Something cannot come from nothing.

If the invisible created the visible, then the creator who is invisible is omniscient.

Your logic is flawed.
 
Mungu yupo, alikuwapo tena bila kuwa na mwanzo, ni mwenye kudumu asie na ukomo.
 
Mungu yupo,
Wapi? umemuona au umeadithiwa? na kama hujamuona basi ni hadithi tu hiyo uelewe....
alikuwapo tena bila kuwa na mwanzo,
Huu sasa ni Utata hakika hata hapo mwanzo huelewi kulikuwa na nini ni sawa na yai na kuku kipi kilianza?
ni mwenye kudumu asie na ukoma.
Mkuu ukoma unafahamika kama Ugonjwa fulani wa ngozi nadhani kiasi kikubwa umekomkosea heshima kwa kumfananishia na huo ugonjwa... na kwa maneno yako tu unamaanisha anayo ngozi...

Nikuweke wazi tu Kitu ambacho huna uhakika nacho na hata waliokutangulia nao hawana uhakika nacho ni bora uwe na maamuzi yako binafsi kuwa uamini ili siku ukifa either utakikuta au hutokikuta hukumu yako ndio itaamuliwa hivyo... Dini na uwepo wa Mungu ni Imani tu.... Hakuna Udhibitisho period.
 
Wapi? umemuona au umeadithiwa? na kama hujamuona basi ni hadithi tu hiyo uelewe.... Huu sasa ni Utata hakika hata hapo mwanzo huelewi kulikuwa na nini ni sawa na yai na kuku kipi kilianza?
Mkuu ukoma unafahamika kama Ugonjwa fulani wa ngozi nadhani kiasi kikubwa umekomkosea heshima kwa kumfananishia na huo ugonjwa... na kwa maneno yako tu unamaanisha anayo ngozi...

Nikuweke wazi tu Kitu ambacho huna uhakika nacho na hata waliokutangulia nao hawana uhakika nacho ni bora uwe na maamuzi yako binafsi kuwa uamini ili siku ukifa either utakikuta au hutokikuta hukumu yako ndio itaamuliwa hivyo... Dini na uwepo wa Mungu ni Imani tu.... Hakuna Udhibitisho period.

Hakuna kiumbe anayeweza kudiriki kumjua undani wake Mwenyezi Mungu.

Naamini uwepo wake wa tangu na usio na mwisho.

Hana cha kufananishwa nacho,

hana kinachomshinda, hayawi ispokuwa yale anayoyataka kuwa, yeye yupo hai na kwakuwa kwake na uhai haina maana atakufa, ana nguvu wala yeye hapatwi na kuchoka, Mungu wangu ninaemuamini ni yule alieumba viumbe bila kuhitajia chochote kutoka kwao,

akawapa riziki bila kufilisika, ndie anaetoa uhai wa viumbe wake na ndie atakae wafufua viumbe hao na kuwalipa stahiki zao kulingana na yale waliotenda hapa duniani. Huyo ndie Mungu ninaemuamini mimi,

imani yangu wala haiitajii logic kubwa kufahamu uwepo wake na utukufu wake, kila mwenye kutaka kuchimba akidhania atapata kumuona live ndio aamini uwepo wake namuambia aache kwani majuto yake mbinguni yatakuwa makubwa. Akhsante.
 
CHAMVIGA

Hayo Maneno yote nani aliyekuaminisha? maana umeongea hadi umepitiliza,Utukufu wake hebu dadavua unafananaje au japo kianzio tu? Na Hayo Majuto ya Mbinguni kulikoni tena? maana wengi wanaamini Mbinguni ni raha tupu sasa wewe wasema ni Majuto?

Wewe Upo kwa wale wapigao Wrong Number... Unapiga simu namba unahakika nayo kumbe umekosea...! yaonekana wazi una imani Haba...

Kama Hakuna Kiumbe kinachoweza Kumjua Mungu sasa wewe Imani yako ndio Unaamini sehemu ambapo hutokuja Kuijua... Kuwa Makini akili yako imeoshwa... Kama Hujui ulikotoka na uendako hupajui fresh... nenda kwa Walimu Wako Wakupige Msasa fresh maana Humu utachechemea tu...

Mungu Unamuamini ni yule aliyeumba vitu bila kuhitaji chochote kutoka kwao wewe haupo Sawa... Vitabu vinasema Mungu anataka aabudiwe.... hilo ndio takwa lake kuu wewe Elimu ya Dini nadhani haujaifanyia pratical...

Swali Dogo nikuulize... Mungu wako Anaitwaje? ili nikusaidie katika Imani yako... Maana Miungu yote ina Majina yake.... usipinge katu... wewe nitajie tu jina la Mungu unayemuamini tafadhali.. ukishindwa Omba msaada kwa aliyekuaminisha...
 
Last edited by a moderator:
1. You have not proved that god exists.

2. You have not proved that there is a qay to prove that thatvwhich does not exist, does not exist.

3. I am not entirely sure you understand my argument. Or even that you have the capacity and requisite preparation to understand.

4. You don't even understand the difference between evidence and proof.

Kiranga mleta mada is another waste of oxygen alafu he has the audacity to mention the principle of burden of proof..... kumbe wala haijui.... burden ya proof ina lie kwa mtu anaye make knowledge claim....

yeye mwenywewe kwa uzi wake ndio ame make knowledge claim kua anaamin mungu yupo so kwa kutumia iyo principle aliyoitaja ambayo haijui vzr inamtaka atoe ushahidi!!!!!
 
Kiranga mleta mada is another waste of oxygen alafu he has the audacity to mention the principle of burden of proof..... kumbe wala haijui.... burden ya proof ina lie kwa mtu anaye make knowledge claim.... yeye mwenywewe kwa uzi wake ndio ame make knowledge claim kua anaamin mungu yupo so kwa kutumia iyo principle aliyoitaja ambayo haijui vzr inamtaka atoe ushahidi!!!!!

Unajua mambo mengine haya watu wana parrot ili kuonekana wanajua na kutia msisitizo zaidi kqa lugha za kigeni.

Wakati hata kuelewa maana halisi hawaelewi.

The hey end up ahooting, shooting themselves in the foot like Plaxico.
 
Mie nimetoka kupuu...afu najishtukia,sijui Mungu aliniona LOL(Mungu nisamehe)
Huwa nashangazwa sana na mwanamke anayetilia mashaka uwepo wa Mungu, nafanya hivyo kwa kutazama pekee jiografia ya mwili wa mwanamke, utaona kwamba Muumbaji alitumia ufundi sana katika kuuumba. Mfano; Kunyonyesha; inakuwaje mwanamke anaweza kunywa maji , au bia halafu atoe maziwa??ni kwa namna gani mwanamke anaweza punguza damu kiasi fulani kila mwezi lakini isiwe katika hali ya kumfanya kupoteza maisha, au damu yote mwilini kwisha, mimba: kwanini mwanamke anakaa na kiumbe tumboni kwa miezi tisa, kwanini iwe tisa na si tatu atu mbili au moja na ikiwa pungufu au zaidi ya hapo huwa tatizo?? mwanamke ni symbol tosha ya uwepo wa Mungu, unasemaje bidada??
 
Kiranga mleta mada is another waste of oxygen alafu he has the audacity to mention the principle of burden of proof..... kumbe wala haijui.... burden ya proof ina lie kwa mtu anaye make knowledge claim....

yeye mwenywewe kwa uzi wake ndio ame make knowledge claim kua anaamin mungu yupo so kwa kutumia iyo principle aliyoitaja ambayo haijui vzr inamtaka atoe ushahidi!!!!!
kindly elaborate to me the principle of evidence of absence!! hakuna haja ya kulia kama wewe pia huna uelewa kuwa huelewi kuwa huelewi...
 
CHAMVIGA

Hayo Maneno yote nani aliyekuaminisha? maana umeongea hadi umepitiliza,Utukufu wake hebu dadavua unafananaje au japo kianzio tu? Na Hayo Majuto ya Mbinguni kulikoni tena? maana wengi wanaamini Mbinguni ni raha tupu sasa wewe wasema ni Majuto?

Wewe Upo kwa wale wapigao Wrong Number... Unapiga simu namba unahakika nayo kumbe umekosea...! yaonekana wazi una imani Haba...

Kama Hakuna Kiumbe kinachoweza Kumjua Mungu sasa wewe Imani yako ndio Unaamini sehemu ambapo hutokuja Kuijua... Kuwa Makini akili yako imeoshwa... Kama Hujui ulikotoka na uendako hupajui fresh... nenda kwa Walimu Wako Wakupige Msasa fresh maana Humu utachechemea tu...

Mungu Unamuamini ni yule aliyeumba vitu bila kuhitaji chochote kutoka kwao wewe haupo Sawa... Vitabu vinasema Mungu anataka aabudiwe.... hilo ndio takwa lake kuu wewe Elimu ya Dini nadhani haujaifanyia pratical...

Swali Dogo nikuulize... Mungu wako Anaitwaje? ili nikusaidie katika Imani yako... Maana Miungu yote ina Majina yake.... usipinge katu... wewe nitajie tu jina la Mungu unayemuamini tafadhali.. ukishindwa Omba msaada kwa aliyekuaminisha...

Alieniaminisha ni yeye mwenyewe Mwenyezi. Unaweza na wewe kuamini kwakuangalia jinsi Mungu aliumba kwa ustadi wa hali ya juu. Mbingu,dunia,bahari,n.k ukijiangalia wewe mwenyewe tu ni ushahidi tosha kwamba aliekufanya hivo ulivo si wa kawaida he own extra power.
 
Last edited by a moderator:
That you can or cannot prove without evidence is debatable, certainly one point of debate would be what is your definition of evidence. A number of questions arise, one being, can you have evidence in abstract and complex mathematical proofs?

There is no debate when it comes to proof without evidence. You can not draw a certain conclusion without making an observation first. hence it goes without say that, you can not prove without evidence!! even in mathematics i understand it is within your knowledge that, propositions is the essence of mathematics, so once you have affirmed something for discussion itself suffice evidence of proof, where the conclusion of the discussion will be the result of the proposition. No proof without evidence.

But even if you cannot prove without evidence, that does not equate evidence with proof just as much as the fact that you cannot be in Dar es salaam without being in Tanzania does not equate Dar es salaam to Tanzania.

Where did you derive this??

A simple class in set theory would do much to benefit your clouded assertion.

Do we always have to base our arguments on math theorems??

Even more confused jumbles.

a) I have not claimed anywhere that you have failed to prove that god does not exist. I challenge you to prove that anything that does not exist, does not exist.

b)You still do not understand my argument (complete with a challenge you haven't tackled) that that which does not exist cannot be proved that it does not exist, because it does not exist and therefore cannot be proved in any way.

c) I was right to think that you are a dingbat and cannot understand my arguments. Your questions show that.

Proof of a negative can be achieved if one could attempt to use evidence and induction to support a claim that he is biased toward, such as a claim that something does not exist. You have asserted a claim that God does not exist, i invited you to support your claim with evidence that he does not exist, until now you have not done so.

If asking for proof that god exists is a belief, then a baldhead is a style of hairdo.

Failure to prove existence can be termed as Faith, but my claims are nowhere near to that, as i have come forward with evidence to prove that he does exist. Now my friend your failure to prove that he does not, makes you a hopeless individual , with unsupported conclusions and saddened faith. You need to come to your senses.

You don't even understand the difference between evidence and proof, yet you scream that I am the one without understanding?

From which statement did you make that conclusion??

Can you prove god exists?

I have enough proof can you disprove.
 
Back
Top Bottom